Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Shauri yako yaani umeacha mkewe wako . Unaenda kuchulua masingle mother yaani uyo anataka umlele na watoto wake wawili yaani umeshindwa kujiongeza kwanini hao wanaume waliomzalisha hawakumuoa uje umuoe wewe shauri yako.mwambie umeitwa kwenu kuna kikao mtoroke uende ukamsalimie mkeo na wanao. Baada ya hapo Fanya mpango na Baba mwenye nyumba ionekane akufukuze utafute nyumba mpya
 
yaan kama mtu anaamua kujiua basi hata kukuua siwezi kuwaza ni mara moja tu anakumaliza..

wako ni wa singida huyo mwingine fanya ni kama ni njia uliyopita tu kw bahati mbaya
 
Ni kweli kabisa umbali unachangia,kuna wakati nafikiri kama ningekaa na mke wangu majanga haya yasingenifika,loop hole ya ukaribu sana isingekuwepo kabisa!!
Usijidanganye kwamba mzazi mwenzio wa singida anekuwepo usingemfanya huyo wa tanga, kumbuka kuwa mzazi mwenzio hujawahi kumpenda wala kuwa na hisia nae so lazima tu ungechepuka maana mwili/nafsi hauwezi kuridhika kimapenzi na mtu usiye na hisia nae na bado nafasi kubwa ingeendelea kubaki kwa huyu m/kazi mwenzio maana tofauti na nyumbani bado mnakuwa pamoja muda wote wa kazini hivyo bado alikuwa na nafasi kubwa ya kukushawishi ukizingatia tayari ulikuwa ushavutiwa nae.
Peleka hiyo taarifa polisi kwanza kama njia mojawapo ya kujihami incase umetoka ukakuta kajidhuru maana unaweza kupewa mada case, pili muweke chini uongee nae kiuwazi zaidi ukiwa serious zaidi kuwa huwezi kuachana na mzazi mwenzio wa kwanza japo na wewe inawezekana wakati mnaanza mahusiano hukuwa mkweli ukamdanganya sana na kumjaza matumaini hewa, jitahidi usioneshe kuogopa kutokana na hatua aliyochukua maana atakapokusoma itamfanya akukazie akijua utaogopa akikutishia kujiua!!!!
 
Swahib sinjo nimekuelewa vizuri sana,lakini ukweli sikuwahi kumdanganya,na hata mahusiano tulianza pasipo hata kutongozana,hakukuwa na ahadi yoyote baina yetu,that is why alipokuwa anakuja mama watoto wangu alikuwa anampokea na kuongea naye vizuri kabisa kama wifi yake!

Sikuwahi kufikiria kama hatma ya mahusiano haya ya utani utani yangeweza kunifikisha hapa!!!

Kwa hakika,nimekoma,nitalazimika kuwa karibu na familia yangu na mtoto wangu akijua nitamchukua,(japo hapa napo pananipa utata sana,mama watoto wangu kumpokea huyu mtoto itachukua muda sana) na hata akimpokea hawezi kumpenda kabisa!
 
Kulingana na maelezo yako m/mke wa singida anakupenda so sidhani kama kumpokea mtoto itakuwa shida sana kwake kama utamweka chini mkaongea as long as ataona nafasi yake ipo ila huyo wa tanga unahitaji kuwa makini na msimamo wa hali ya juu ili kujinusuru nae, kuna wakati unabidi ufanye maamuzi hata kama ni machungu na uweze kuyasimamia mpaka dakika ya mwisho so hakikisha kwanza anapata matibabu mpaka apone kabla hujachukua hatua yoyote, hii itakupa muda wa kutafakari vya kutosha na kupata mawazo mapya yanayoweza kukupa suluhisho, kuhusu safari ya kwenda singida lazima iendelee kuwepo pale pale coz huwez kuacha kwenda kuwaona watoto wako na pia anapaswa ajue kuwa hana haki ya kukuzuia kwenda kuiona familia yako maana kawakuta hivyo yeye ndo kaingilia mahusiano yenu/ mwizi awe mpole!!
 
Hilo la mwisho (huyu kuwa mpole) ndilo nililolitarajia sana,lakini kwa bahati mbaya imekuwa tofauti kabisaaa!!!

Kuhusu kumpokea mtoto,naamini nikiongea naye atakubali,lakini itakuwa kishingo upande sanaaa,na huyo mtoto najaa hofu kama atampenda,anaweza kumpokea lakini akawa anam-treat vibaya sana!!!
 
Kwa kweli, usije ukaacha earphones zako na mwanamke.

Ona sasa, zinaweza zikawa zimeshakatika.
 
Back
Top Bottom