Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Buhahaha

Ningeyajua mapenzi yalipo,ningeyatafuta na kuyapa sumu kabisa
 
kaka muowe mwenye watoto wako wawili

Ujiulizi hao waliomzalisha watoto wawili wameachana naye kwa sababu gan? kwa hiyo huyo wa tanga siyo mwanamke
 
Aisee huyo mwanamke km ameweza kujaribu kujiua hashindwi kukuua ww pia,, yan tafuta namna ya kumuacha,,tumia sana saikolojia
 
Yaani huyu mtoa mada hajielewi kabisaaa
Wee jamaa Mdada ukimuona huwezi mdhania kama ana mtoto hata chembe,alama kubwa kwangu kutambua mwanamke aliyezaa ni maziwa na tumbo,(kuna mchirizi huwa unajitokeza tumboni ukiachilia mbali mikunjo mikunjo),lakini huyu mdada ni plain kabisa!hakuna michirizi wala mikunjo,lakini maziwa yake pia ni madogo madogo,na hayajalala kiasi cha kutambua kuwa aliwahi kunyonyesha!!!
 
Hahahahaha pambana na umalaya wako,,,wangu nnaumudu .
Umenishambulia kwa silaha za nyuklia kabisa utadhani wewe bado bikra,kumbe hamna kitu ila haujakutwa na janga kama mimi,angalia mkuu usijione innocent wakati na wewe hii michezo umo sana tu!!!
 
You are very right,inashangaza sanaaa!!!
I FOR ONE!!
NISINGEENDELEA NA MTU DEPENDANT WA KIHISIA KIWANGO HICHO.

well sijui,siamini KABISA katika UDHAIFU WA KIMAAMUZI JUU YA MAISHA BINAFSI!!

hunitaki,fine NAUMIA NASOGEA!!
sikutaki good, UMIA NIPISHE!!

love is all about Uhuru na utashi!!
KAMA AMBAVYO SIKUKULAZIMISHA UNIPENDE,SIWEZI LAZIMISHA YOU STAY!!
 
I FOR ONE!!
NISINGEENDELEA NA MTU DEPENDANT WA KIHISIA KIWANGO HICHO.

well sijui,siamini KABISA katika UDHAIFU WA KIMAAMUZI JUU YA MAISHA BINAFSI!!

hunitaki,fine NAUMIA NASOGEA!!
sikutaki good, UMIA NIPISHE!!

love is all about Uhuru na utashi!!
KAMA AMBAVYO SIKUKULAZIMISHA UNIPENDE,SIWEZI LAZIMISHA YOU STAY!!
Ndugu hapa tatizo ni kwamba,hatukuwahi kutongozana na huyu co-worker,ilitokea tu tukadate akijua kabisa kwamba kuna mchumba wangu na alifahamiana naye,walikuwa good friends lakini mihemko yetu na closeness vilifanya tufanye makosa makubwa!

Kinachonishangaza kwa sasa ni hii hatua ya yeye kutaka kujidhulu kana kwamba mimi nilimdanganya,wakati ukweli wote aliujua hata kabla hatujaitenda dhambi inayotutafuna leo!
 
Back
Top Bottom