Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Wale mabaunsa wenye mambo kama ufunguo (yani juu amejaa halafu chini ni kama sigara) nimeshuhudia muda mfupi uliopita akitishiwa bastola baada ya kufunga cheni gari ya mzee mmoja anaesadikiwa kuwa ni mjeda mstaafu.....alikutwa ndo ameinama anaifunga kwny tairi akashtukizwa na teke la mgongo akajifanya kuja juu,mzee akatoa manati ya mzungu jamaa akawa mpole ghafla akalazimishwa afungue