thank you for the message. Ingawaje wakati mwingine unaweza kuvutwa nyuma na usirudi tena.
Ni kweli mkuu. Elastic material ya upinde ikikatika tunaingia kwenye ''ninge...''. Sioni uwezekano wa mtu kuzeeka bila sentensi za ''ninge...'' ila naamini ukiutumia vizuri ujana wako utakuwa nazo chache sana. Sio we kila kitu ninge. 'ningejua ningesoma', 'ninge oa yule', 'ninge acha yale mambo yetu mapema', muda ukipita umepita. Live Now. The Past and Future is Not Yours. You Only Have Now.