Aiseeeeeee.. Na Nina Arosto ya huo "upekeee" sana.UJE NYUMBANI NTAKUTAKA RADHI KWA STYLE YA KIPEKEE
Endelea kuimba iyena iyena tu.We mmebanwa kubaya...miaka miwili mnaona kama 20
Ni kweli kabisa, hata Mimi nasema ni kweli kabisa kwamba Nduli Dadaa=Yohana.Kwani uongo, ulitaka niandikaje kama hiyo ndio iliyotokea?
Aiseeeeeee.. Na Nina Arosto ya huo "upekeee" sana.
Yaani ni wazi kabisa wewe bado ni kijana mdogo. Hata huelewi unataka kusema nini.Ni kweli kabisa, hata Mimi nasema ni kweli kabisa kwamba Nduli Dadaa=Yohana.
Nimekutxt tayari,check WhatsApp, nikubebee wine gani?View attachment 626671 0713800880 NAKUSUBIRI NA KAWINE HAHAHAHAHA View attachment 626671 View attachment 626671
View attachment 626671 0713800880 NAKUSUBIRI NA KAWINE HAHAHAHAHA View attachment 626671 View attachment 626671
Unaniona kijana mdogo? Fine! Huenda ni kweli bado mdogo! Ninachotaka kusema ni kwamba Yohana ni Dictator kama Amin.Yaani ni wazi kabisa wewe bado ni kijana mdogo. Hata huelewi unataka kusema nini.
Namba ya Tigo call center hiyo, usiingiee mkenge Mkuu.Kaa na power bank kabisa na hadi usiku messages zitakuwa full,vinginevyo edit hiyo comment utoe namba!!
hahaha wacha weeKaa na power bank kabisa na hadi usiku messages zitakuwa full,vinginevyo edit hiyo comment utoe namba!!
Ubavicha wa ufipa umekujaa. Ni kupoteza muda kujadiliana na wewe.Unaniona kijana mdogo? Fine! Huenda ni kweli bado mdogo! Ninachotaka kusema ni kwamba Yohana ni Dictator kama Amin.
Ila sasa kwakua nyinyi mmewekewa automation ya kutetea kila kitu huko UVCCM hata hapa umejikuta unaingia kwenye mtego wa kutaka kumtetea Yohana na kulazimisha kwamba Amin hakua Dictator.
Sawa, Umeiona Article yake ya CNN Leo? By the way mwenzio Troll JF kaamua kukaa pembeni baada ya kuona ukweli wa mambo! Wewe endelea tu kuzungukazunguka humo kwenye korido za Lumumba.Ubavicha wa ufipa umekujaa. Ni kupoteza muda kujadiliana na wewe.
Story ya Fisi akisubilia mkono udondoke
Ndio nimeshtuka 800880!!! Hakika wafaa kuwa jambazi!!Namba ya Tigo call center hiyo, usiingiee mkenge Mkuu.
Hakuna mfanano wowote hapo. Labda kwa mibavicha kama wewe.
Wewe mwenye ajira na wasio na ajira mbona upo kwenye key board kama wao?
vijana hamna ajira ndo maana mnawayawaya
Shida ni kwamba wamekula kiapo cha kutetea kila jambo, hawaruhusiwi kuhoji au kutoa "mawazo huru" kwahiyo hata ukimuelekezaje hawezi kuelewaMimi sio bavicha ila nakupa pole maana hayo yaliyoko kwenye huo uzi hapa yapo kwa zaidi ya 80%.