Ni Watanzania wangapi waliuawa kwenye Vita vya Kagera?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,957
Reaction score
288,140
Na Je vita hiyo ambayo TANZANIA ilikuwa inapambana na Idd Amin Dada (siku hizi kuna Idd Amin Mama) ilidumu kwa muda gani?

Ushahidi wa Kuaminika wa Satelite unaonyesha kwamba zaidi ya Watanzania elfu 17 waliouawa kwenye kilichoitwa uchaguzi wa oktoba 29 2025, Mauaji yaliyofanyika kwa muda wa masaa 72 tu, huku lundo la maiti likizikwa kwenye kaburi MOJA huko kwa Kondo.

Sasa ili tumpinge Warioba tunahitaji takwimu za Vita vya Kagera na muda ambao vita hiyo vilipiganwa.

Zingatia: Oktoba 29 haikuwa vita ilikuwa uchaguzi
 
Screenshot_20251220-140715~2.jpg
 
Na Je vita hiyo ambayo TANZANIA ilikuwa inapambana na Idd Amin Dada (siku hizi kuna Idd Amin Mama) ilidumu kwa muda gani?
Kwa mujibu wa Ritz
Thread 'Hoja ya Jaji Mstaafu
Warioba Kuhusu Vifo vya
Octoba 29 ni Uongo na
Uchochezi wa Kisiasa.' Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Octoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa.

====
Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa
Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373
Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA) walipoteza takribani 150 kina M7 hawa
Raia wa Tanzania waliouawa na uvamizi wa Idi Amin walikuwa takribani 1,500
Hizi ni takwimu za vita halisi, vita ya wazi dhidi ya adui wa nje.
 
Mzee wangu Kichuguu nakuomba upitie hapa.
 
Na Je vita hiyo ambayo TANZANIA ilikuwa inapambana na Idd Amin Dada (siku hizi kuna Idd Amin Mama) ilidumu kwa muda gani?

Ushahidi wa Kuaminika wa Satelite unaonyesha kwamba zaidi ya Watanzania elfu 17 waliouawa kwenye kilichoitwa uchaguzi wa oktoba 29 2025, Mauaji yaliyofanyika kwa muda wa masaa 72 tu, huku lundo la maiti likizikwa kwenye kaburi MOJA huko kwa Kondo.

Sasa ili tumpinge Warioba tunahitaji takwimu za Vita vya Kagera na muda ambao vita hiyo vilipiganwa.

Zingatia: Oktoba 29 haikuwa vita ilikuwa uchaguzi
Wanajitahidi sana kufanya hali ionekane ya kawaida normalisation lakini kamwe haitakuwa. Ibilisi anadai ilimbidi afanye hayo mauaji kwa sababu eti waandamanaji walitaka kupindua serikali yake.
 
Na Je vita hiyo ambayo TANZANIA ilikuwa inapambana na Idd Amin Dada (siku hizi kuna Idd Amin Mama) ilidumu kwa muda gani?

Ushahidi wa Kuaminika wa Satelite unaonyesha kwamba zaidi ya Watanzania elfu 17 waliouawa kwenye kilichoitwa uchaguzi wa oktoba 29 2025, Mauaji yaliyofanyika kwa muda wa masaa 72 tu, huku lundo la maiti likizikwa kwenye kaburi MOJA huko kwa Kondo.

Sasa ili tumpinge Warioba tunahitaji takwimu za Vita vya Kagera na muda ambao vita hiyo vilipiganwa.

Zingatia: Oktoba 29 haikuwa vita ilikuwa uchaguzi
Ukiingia maktaba na kupata taarifa/takwimu katika majalada yaliyoandika vifo vya askari wa TZ waliofariki, utabaki mdomo wazi. Ni aibu hata kuziandika hapa!
Hiyo ndio haki iliyoendeshwa wakati wa akina Warioba wakiwa madarakani. Wanajuaga haki na sheria wakiwa wametoka madarakani, na hasa wakifikia saa 12 na robo.
 
Na je vita vya Kagera navyo vilikuwa vya masaa 72?
 
Na Je vita hiyo ambayo TANZANIA ilikuwa inapambana na Idd Amin Dada (siku hizi kuna Idd Amin Mama) ilidumu kwa muda gani?

Ushahidi wa Kuaminika wa Satelite unaonyesha kwamba zaidi ya Watanzania elfu 17 waliouawa kwenye kilichoitwa uchaguzi wa oktoba 29 2025, Mauaji yaliyofanyika kwa muda wa masaa 72 tu, huku lundo la maiti likizikwa kwenye kaburi MOJA huko kwa Kondo.

Sasa ili tumpinge Warioba tunahitaji takwimu za Vita vya Kagera na muda ambao vita hiyo vilipiganwa.

Zingatia: Oktoba 29 haikuwa vita ilikuwa uchaguzi
Kamuulize Warioba na amechoka kweli kweli hata kumbukumbu zake zinaanza kupotea nawashangaa nyinyi nyumbu kwa kumtegemea huyo babu ambaye jua limeshafika saa 12.30 jioni bado dakika 30 tu jua lizame!!!
 
Waliokufa ni wetu. Baba, mama, dada, kaka zetu. Majina yao hatuyajui? Kweli hatujapata miili yao, lakini si ingejulikana kwamba fulani na fulani hatuwaoni.
 
Na je vita vya Kagera navyo vilikuwa vya masaa 72?
Ukweli binafsi kujadili vita vya Kagera ni kichefu chefu tu. Kwa sababu ilikuwa ni marufuku kwa mtu binafsi kufanya utafiti yakinifu (wa kitaaluma) kujua chanzo cha vita, idadi ya askari (TZ) waliokufa au kujeruhiwa. idadi ya raia (TZ) waliokufa au kujeruhiwa, mwenendo wa vita, N.K.

Bila kujua hayo kuijadili hiyo vita kwa mantiki ya takwimu halisi ni stori za nipashe tu, na msomi hawezi kujiingiza katika chaka hilo. Ndio maana hata Warioba hakusema ni idadi kiasi gani ya askari/raia waliokufa wakati wa vita vya Kagera. Utachosikia ni Wengi au kidogo. Maneno haya hayaelezi chochote kile kitaalam na hata kisheria. Huhitajika namba.
 
Kwa mujibu wa Ritz
Thread 'Hoja ya Jaji Mstaafu
Warioba Kuhusu Vifo vya
Octoba 29 ni Uongo na
Uchochezi wa Kisiasa.' Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Octoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa.

====
Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa
Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373
Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA) walipoteza takribani 150 kina M7 hawa
Raia wa Tanzania waliouawa na uvamizi wa Idi Amin walikuwa takribani 1,500
Hizi ni takwimu za vita halisi, vita ya wazi dhidi ya adui wa nje.
Unamuamini huyo Janjaweed?
 
Back
Top Bottom