Usiogope kuwa na machaguo yako

Usiogope kuwa na machaguo yako

Wanafikia mbali mpaka kutumia mrenda alooh nakumbuka nimewahi enda sehemu wanafanya massage nikakutana na wastfaatu hakukua na rika langu ila mabinti ndo walikua wadogo tu nikauliza bei nilitajiwa bei ambayo ni mtaji wa mtu
Mrenda? Huyu ni secretarybird 🤣

Ungetafuta wa bei yako mkuu hao tayari washalewa na wazee wastaafu lol
 
Acha kona kona unawachelewesha watoto kuanza shule njoo ufyatue chap chap
Nifyatue nini, mi sitaki watoto aisee! Wakiwahi shule ndio inakuwaje kwanza?
 
Watoto ni hazina bhna kwasasa watoto ndo ndugu zako wai 2 wai
Kuna watoto wengi tu sioni impact wakiyonayo kwa wazazi wao, mtoto mmoja anatosha wakizidi sana wawili..
 
Kuna watoto wengi tu sioni impact yao kwa wazazi wao, mtoto mmoja anatosha wakizidi sana wawili..
Sawa tuanzie hapo tuikimbie kidogo jf najua tumbo likiwa mbele utakua na visirani sana utakua hukamatiki
 
Basi hauko serious mzee, watu wanahesabu wewe unadai 0🤔
Sema mimi kuamini hii gender ni ngumu🤦🏽‍♀️

Mi mzee lol🤣
Unanioa humu humu au?
Kwani ukiwa Mzee haipiti??
 
Hiyo package iliyotaja hapo ndio iliyopo sasa sijui itakuaje kila la kheri lakini
 
Mwanamke aliyelala na wanaume 20+ ana historia ya kutoa mimba nyingi achana naye
Mbona hiyo idadi ni wastani?
Hivi unawajua vizuri madada wa mjini wanaojiita ma slayqueen?

Kuna kifaa kilivumbuliwa, walikiita "Misogyny Meter" ukikiweka kwa manzi kinasoma body count kwa usahihi mkubwa. Nasikia ma feminist washakipiga pini.

Teknolojia za hivyo zitaumbua sana watu, maana anaweza kukulaghai kuwa body count yake ni 5, ukitumia technology unakuta ni 400+, unakimbia bila kuaga
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
VP nimepiga kwenye mshono mbona wajichekesha
 
Back
Top Bottom