Usiogope kuwa na machaguo yako

Usiogope kuwa na machaguo yako

Ukiondoa mawazo ya kufikiria wanawake na ukaanza kufikiria mambo yako, huwezi hata jua kama duniani Kuna wanawake, jikipu bize na mambo yako, wanawake usiwape kipaumbele.
Wewe utakuwa bado hujanasa kwenye kidonda, na ndiyo maana unatoa ushauri wa aina hii. Siku na wewe ukinasa, ndiyo utajua kila aina ya rangi kwa hao viumbe ambao hata hawaelewi wanataka nini kwenye maisha yao.
 
No buts… nipe mfano makini tuuchambue hapa muache kujaza upupu vichwani!
We madam hujapata bahati ya kupendwa mpaka kupewa kipaumbele kwennye ulimwenguu huu tuliza kichogo
 
We madam hujapata bahati ya kupendwa mpaka kupewa kipaumbele kwennye ulimwenguu huu tuliza kichogo
Sawa wacha niwapishe mliowahi kupendwa 🤸🏽‍♀️💃🏽
 
Wewe utakuwa bado hujanasa kwenye kidonda, na ndiyo maana unatoa ushauri wa aina hii. Siku na wewe ukinasa, ndiyo utajua kila aina ya rangi kwa hao viumbe ambao hata hawaelewi wanataka nini kwenye maisha yao.
Una kazi yako ya kukuweka bize, inakuingizia pesa ya kutosha tuseme Kwa mwaka unafunga hesabu ya billioni, utapata wapi muda wa kuwaza matakataka.

Hakunaga tajiri anashobokea mwanamke, hao wanaoshobokea wanawake mara nyingi ni maskini, Bado hawajajipata vzr, siku ukijipata vzr huwezi kuwa na shobo na wanawake.

Tajiri Hana mda mpaka anachapiwa mke na msafisha Banda la kuku.

Tafuta pesa uache shobo na wanawake, watakushobokea wenyewe,

Matajiri wanashobokewa na wanawake na muda huo hawana
 
Sawa tajiri.
 
Sawa tajiri.
Yani ukiwa na hela hata hamu ya kula inaisha, unajiskia masaa yote umeshiba,

Na hakuna mwanamke atakusumbua kichwa, Yani wanawake wote utawaona kama visisimizi tuuu, cha msingi pesa. Pesa itafutwe.
 
Kwenye swala la kusex sina kipaumbele chochote ni bakora tu yeyote atayejipendekeza ila linapokuja swala la kuoa standard yangu ni bikra kwanza mengine baadae
 
Me Nina zaidi ya miaka 9 humu na sijawahi kula nyama ya gal yeyote hayo sio mambo yangu 😁😁

Nasikia sikia tu hizo habari kuwa watu Huwa wanapeana utamu humu ila Mimi sijawahi kubahatika Sina nyota hiyo
Mimi nilibahatisha kamoja tu sema kalikuwa sio katamu sitaki tena
 
Mwanamke aliyelala na wanaume 20+ ana historia ya kutoa mimba nyingi achana naye
Kuna binti mmoja huwa anaimba sana ule wimbo ‘I love my daughter’ wa Marioo, lakini ukweli ni kwamba hivi karibuni alifanya abortion, na mtoto alikuwa tayari na miezi kadhaa.

Inanifanya nijiulize sana..... je, ndani kabisa anajuta au ni hisia tu zinamsukuma kupenda ule wimbo?

Wanawake wa Dar kweli they’re built different…
#abortioniscrime”
 
Back
Top Bottom