hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,264
Mke wa Nick wa pili lakini na yeye ndoa ikamshinda 😁Nitolee mfano wa dada unayemjua aliyechagua mwanaume anayemtaka akampata?
Mke wa Nick wa pili lakini na yeye ndoa ikamshinda 😁Nitolee mfano wa dada unayemjua aliyechagua mwanaume anayemtaka akampata?
Karume day hiyo ni Kwa wazee 🤣🤣Sijaona hata mada ya karume day vijana na uke tu🤦🏽♀️
No buts… nipe mfano makini tuuchambue hapa muache kujaza upupu vichwani!Mke wa Nick wa pili lakini na yeye ndoa ikamshinda 😁
Hahahaa kwahiyo ni mbunye kwa kwenda mbereee😆Karume day hiyo ni Kwa wazee 🤣🤣
Ukiongelea mambo ya government unatukumbusha ukiwa tu
Uke uheshimiwe🤣Sijaona hata mada ya karume day vijana na uke tu🤦🏽♀️
Toka huko ACHANA na wanawake, watajileta wenyewe, wee dili na mambo yako.Mwanaume usiogope kuwa na machaguzi yako
hii dunia sio ya waoga
Siku hizi kuna wanawake wana list ndefu kama CV ya kazi:
Anataka mwanaume mwenye pesa, gari, nyumba, connection, akili, nguvu… full package!
Ukiuliza :
“wewe unaoffer nini?”
Anabaki na mwili na vibes tu.
Hapo ndio mwanaume unapaswa kuamka!
Usikubali kushushwa kiwango kwa sababu ya njaa ya mapenzi.
Ukishajishusha, utatumika na utatupwa.
Kama unataka bikra , tafuta bikra.
Usione aibu. Hiyo ni standard yako.
Usioe ambaye amezunguka kila kona halafu anataka kutulia kwako kama “final destination”.
Amepitiwa na wapenzi 10+ hakutulia nao wewe utakuwa na special gani atulie kwako ?
Mwanamke aliyelala na wanaume 20+ ana historia ya kutoa mimba nyingi achana naye
Hutambadilisha atakubadilisha wewe
Mwanaume unatakiwa kuchagua, sio kuchaguliwa.
Usikubali kuwa option ya mwisho ya mtu.
Ukijishusha leo kwa sababu ya tamaa…
kesho utalia kimya kimya ukijutia uamuzi wako.
Abuuabdillah ✍️
Tufanyaje Sasa 😁😁🤣Hahahaa kwahiyo ni mbunye kwa kwenda mbereee😆
What makes u think that am a gadamn woman?Tuweke utani kando ila nakuelewa sana wee mwanamke, Utaniua please
Watu hawalali🫢Uke uheshimiwe🤣
Halafu inaonekana una papuchi msweet sana 😄Whatakes u think that am gadamn woman?
Mtumie vyetu weee, baadaye muanzishe nyuzi za kutukejeli mnatafuta mali mpya sio used😆Tufanyaje Sasa 😁😁🤣
Tupeane utamu tu visije kuchacha , ni viungo hivi navyo pia tusisahau kwamba vinahitaji kutumika
Leo umekunywa nini unaongea ushuzi hivi😱Halafu inaonekana una papuchi msweet sana 😄
Mwanaume usiogope kuwa na machaguzi yako
hii dunia sio ya waoga
Siku hizi kuna wanawake wana list ndefu kama CV ya kazi:
Anataka mwanaume mwenye pesa, gari, nyumba, connection, akili, nguvu… full package!
Ukiuliza :
“wewe unaoffer nini?”
Anabaki na mwili na vibes tu.
Hapo ndio mwanaume unapaswa kuamka!
Usikubali kushushwa kiwango kwa sababu ya njaa ya mapenzi.
Ukishajishusha, utatumika na utatupwa.
Kama unataka bikra , tafuta bikra.
Usione aibu. Hiyo ni standard yako.
Usioe ambaye amezunguka kila kona halafu anataka kutulia kwako kama “final destination”.
Amepitiwa na wapenzi 10+ hakutulia nao wewe utakuwa na special gani atulie kwako ?
Mwanamke aliyelala na wanaume 20+ ana historia ya kutoa mimba nyingi achana naye
Hutambadilisha atakubadilisha wewe
Mwanaume unatakiwa kuchagua, sio kuchaguliwa.
Usikubali kuwa option ya mwisho ya mtu.
Ukijishusha leo kwa sababu ya tamaa…
kesho utalia kimya kimya ukijutia uamuzi wako.
Abuuabdillah ✍️
Ua una tabia ya kureact kila comment ila uzi wa jamaa umepita kama huuoni iviEndeleeni kujifariji, hakuna namna!
Ukiondoa mawazo ya kufikiria wanawake na ukaanza kufikiria mambo yako, huwezi hata jua kama duniani Kuna wanawake, jikipu bize na mambo yako, wanawake usiwape kipaumbele.Ila wanaume tunaonewa sana na wanawake.
kuna kitu nilitaka kusema ila acha nikaushe😂Halafu inaonekana una papuchi msweet sana 😄
😁😁🙌 Basii naacha mama mtumishiLeo umekunywa nini unaongea ushuzi hivi😱
Jah bless 😅
😁kuna kitu nilitaka kusema ila acha nikaushe😂