hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,266
Me Nina zaidi ya miaka 9 humu na sijawahi kula nyama ya gal yeyote hayo sio mambo yangu 😁😁Unajitetea ili ujipigie nyama zote kiulaini sio🤣
Endelea kujipa promo😊
Nasikia sikia tu hizo habari kuwa watu Huwa wanapeana utamu humu ila Mimi sijawahi kubahatika Sina nyota hiyo