Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,340
- 87,730
Uzi gani jamani😆Ua una tabia ya kureact kila comment ila uzi wa jamaa umepita kama huuoni ivi
Uzi gani jamani😆Ua una tabia ya kureact kila comment ila uzi wa jamaa umepita kama huuoni ivi
Sema mkuu ukute mkuu ndio ana papuchi afu anasingizia watukuna kitu nilitaka kusema ila acha nikaushe😂
Hamna I'm so humble real men doesn't kiss and tellMtumie vyetu weee, baadaye muanzishe nyuzi za kutukejeli mnatafuta mali mpya sio used😆
Nyie nao mna vichaa vyenu special 🤭
Tangu mwanzo kati ya watu walioreact sio jina lako hapo inamaana hutaki kuchaguliwa au mleta uzi kakubaguaUzi gani jamani😆
Uliandika nini ukafuta kwanza?😁😁🙌 Basii naacha mama mtumishi
Jf ni kama Amazon forestSema mkuu ukute mkuu ndio ana papuchi afu anasingizia watu
Uweeh tena humu ni mwendo wa kula nyama tangaza!!Hamna I'm so humble real doesn't kiss and tell
Atakuwa kanibagua aisee!! Mimi mchangiaji mzuri sana..Tangu mwanzo kati ya watu walioreact sio jina lako hapo inamaana hutaki kuchaguliwa au mleta uzi kakubagua
Ogopa sana😱Jf ni kama Amazon forest
Mda wote upo Jf ndoa unaihudumia mda gani bintiAtakuwa kanibagua aisee!! Mimi mchangiaji mzuri sana..
Mmhh sio Kila mtu yupo hivyo 😁Uweeh tena humu ni mwendo wa kula kula nyama tangaza!!
Good question akijibu nitagMda wote upo Jf ndoa unaihudumia mda gani binti
Nimeachika kwahiyo muda wote nipo hapa kumalizia hasira zangu humu😆Mda wote upo Jf ndoa unaihudumia mda gani binti
WagwanJah bless 😅
Unajitetea ili ujipigie nyama zote kiulaini sio🤣Mmhh sio Kila mtu yupo hivyo 😁
Watoto ndio wanaofanya hayo mambo
Ukiwa mtu mzima ukipewa nyama una kausha ili kesho upewe Tena
jamaa anashindwa kusema simple words maneno mbili tu njoo tuyajenge😂Nimeachika kwahiyo muda wote nipo hapa kumalizia hasira zangu humu😆
Kwani mkuu mimi nilitangaza ndoa lini humu😆Good question akijibu nitag
Una wa attack sana vijana na wazeeNimeachika kwahiyo muda wote nipo hapa kumalizia hasira zangu humu😆
Hivi mnajengaga manini? Huwa sielewi hilo neno😆jamaa anashindwa kusema simple words maneno mbili tu njoo tuyajenge😂
najua hiloKwani mkuu mimi nilitangaza ndoa lini humu😆
Am jobless kwahiyo nipo humu kwa ajili ya kuwafurahisha walionuna🫢