Usioe Mwanamke asiyekupenda

Kwan mapenzi yana 4mula bas? Tuishi humo tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iliandikwa wapi hiyo sheria mke ampende mume??
Ndoa ni mme ampende mke na mke anawajibu kumheshimu na kumtii mme wake
Tofauti na hilo hakunaga ndoa yenye amani wala mahusiano yenye furaha.
Mwanamke akipenda anakua msumbufu na kero
Kuweni makini na Maandiko ...
 
Hii kitu nakubali Mzee...
with experience 🤝
 

Nafikiri upo sahihi 100%
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…