Usintafute...

tena malizia kuwa anatomboka kikongo

kama vipi mpotezee tu,atasema mwishiwe atalala,akiamka wewe upo vilevile,epusha shari mkuu,maana kuna watu wanajiegesha tu kama bomu,ukigusa tu lako hilo,so please jifanye kama humwoni vileee
 
Inkoskaz!!!!????????
Kumbe Jf huu upuuzi pia upo?
Tn Chitchat?
Mh!
 
Sijagongana nawee kwenye threads kitambo, nimefurahi leo nimekupata hapa.
Kwa hilo naamini u-mzima wa afya kabisa.... As well as me.

Kheri ya Mwaka Mpya MJ1... May 2012 be one of your BEST!

Aksante Da Mkubwa mwanga wa 2012 ushaanza kuniwakia because of your well wish. Aksante sana
Nichagulie color of the year Dadangu.............lol am flying in the sky
 
Duh! Ni mimi nini?
 
OMG!!! Kweli mdogo wangu is in Love jamani..... Dah! Unaniumiza hio suspense.... Hebu sema rafiki...

Hahaha Da Mkubwa I have been there flying since last year nikaogopa kusema sasa I think niko sure loh!! ngoja tu nifurahi hata ikilast short I wont regret hahahh
Nitakutafuta mpendwa..............ngoja niombe ruhusa kwanza kwa shemeji K maana yeye ananibaniaga sana aisee (pengine kwa kuwa he knows me very well aisee) he is so protective
 
Your shem is protective hasa kwa opposite sex.... Lakini wewe amini usiamini ukitembelea home aweza ata tuacha sebuleni akatupa ofa ya kutupikia chai.... (he is a good man you know.....lol). Enways I am happy this is news... Brilliant news.... mimi very patient dear, ukiwa ready I am all yours na ukija shem wako atakaa pembeni kidog....lol
 
Hahahahha Da Mkubwa bwana kwka kutega, unajua kabisa nikiwa nawe pekee sitaficha kitu mwe nitakumwagia kila kitu. Bora awepo shem kidogo nitaficha mengine bana hahahahaha
 
Wifi AshaDii, naomba ushauri uupitishe kwa Nyamayao na Dena Amsi, manake huyu mwali saa ingine viboko vya pilipili vinahusika. Kama kuna wa kudunsua na binduki mnistue coz my gun is loaded...
 
Hahahahha Da Mkubwa bwana kwka kutega, unajua kabisa nikiwa nawe pekee sitaficha kitu mwe nitakumwagia kila kitu. Bora awepo shem kidogo nitaficha mengine bana hahahahaha

Hivi unajua hua sinaga 100% concetration kwa wengine shem wako akiwa around? sema uzuri hata yeye hufaa kwenye ushauri hivo maybe aweza saidia.... Lini sasa dear?
 
Wifi AshaDii, naomba ushauri uupitishe kwa Nyamayao na Dena Amsi, manake huyu mwali saa ingine viboko vya pilipili vinahusika. Kama kuna wa kudunsua na binduki mnistue coz my gun is loaded...

Hata mimi nitamchapa ikibidi.... Nyamayao mkali, adhabu isije mtisha ashindwe kufunguka....lol.. Alafu wifi nitahitaji tu busara zako, bunduki leo acha, uje na mchemso wa kuku...
 
wifi, bora nije na pakiti 2 za ubuyu, manake nikiweka mdomoni udenda unanijaa sitaweza kuongea sana. huyu binti huyu, mi staki kusema kabla. naomba nipangiwe kazi za jikoni,kha!
Hata mimi nitamchapa ikibidi.... Nyamayao mkali, adhabu isije mtisha ashindwe kufunguka....lol.. Alafu wifi nitahitaji tu busara zako, bunduki leo acha, uje na mchemso wa kuku...
 
mrushe hewani tuone ujasiri wako

Kama wewe ni mfutiliaji mzuri utakuwa ushamjua...
Embu jaribu tu kuusoma huu uzi mwanzo mwisho.. afu njoo na majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…