Mie memiss wewe sana. Heri ya mwaka mpya....Mwaka umeanza na vituko.
Mie memiss wewe sana. Heri ya mwaka mpya....
Haya na huyo anaemtafuta mwenzie aache mara moja manake sio vizuri. Andare mpotezee bana.
Umebadili ID?natamani sana ningempotezea, ila mbwa ukimzoea ataingia na wewe mpaka masjid...
BTW: andare=mphamvu
Umebadili ID?
haya fanya mwaya ivo... then utujuze.i wish ningekuwa nimebadili.
Kwa vile sheria za JF haziruhusu kuweka mazungumzo ya PM hadharani, nashindwa kukujuza imekuwaje. Ngoja niombe ruhusa kwa offended to be afu akinikubalia nitawajuzeni chenye kilitokea.
Sawasawa?
huyo!
Nilijua tu, ila si nilishasema hapa... Jiwe la gizani, mwenye ngeu yake ashapiga yowe!
Topic closed...
Kwa hiyo alokuchokoza ni Lizzy?!
We Lizzy tangu lini umeanza tabia hiyo?!
Na wewe Andare, usipende kumung'unya kinyesi, utaoza meno.