Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,695
- 830,697
- Thread starter
- #81
Kweli bwana naona (maafande) wameadabishwa/wamewajibishwa. Mshana hii ni tabu sana kwa familia. mtu amezoea kupata barabarani not less than 10,000-20,000 per day from rushwa leo anafukuzwa ghafla! Just imagine. If it were me ningeliwaonya tu!- I stand to be corrected. Kwani nani asiyefanya mapenzi, ila ni kwa staili gani. Walizidiwa na mihemko!
Ni maoni yako ni vema yakaheshimiwa ila wangekuwa kwenye mavazi ambayo sio rasmi mambo yangekuwa tofauti