JK mwenyewe ni muhuni..
kweli aisee kamera yake ni kali sana ana stahili tuzohahahahha, hii nimependa, ila kamera ya mshana jr ni noma, hadi maporini duu
Hapa ndio najua kwanini mke hatakiwi kufanya kazi, anatakiwa akae ndani apike
Hiyo ni hulka ya mtu tu kaka, hata akibaki nyumbani pia anaweza akafanyia humohumo ndani
Mkuu hayo mazingira kama ya mbeya vileWakati Mangu yuko busy na maandamano huku barabarani watu wanajinafasi.
Pasco kwanza nimekumiss sana kwenye post zanguWee Mshana nawe!, nilipoona nikambilia nikijua kuna bonge la bleking nyuzzz!, kumbe ni picha tuu ya maandalizi ya kazi na dawa!, hapo kuna news gani?!, si ni wako garden baada ya kazi ya kutwa nzima juani!, wangekuwa wako lindo labda!, na pia kupeanza pumziko baada ya kazi ni rukhsa!, liwazo la moyo maofisini rukhsa!, na hata kuchukua jumla imo, ila mmoja atabadilishwa kituo cha kazi!.
Labda ingekuwa nyuzz kama angekuwa Mangwe na Adivera hizi, lakini hao, ni ruhusa kabisa!.
Ila mafundi simu siki hizi ni noma kweli!.
Pasco.
Halafu anapete kuonyesha mke wa mtu... Usalama oyeeee