Usiniulize kwanini sichepuki

Wengine wakichepuka utadhani ndo wanabalehe kumbe washapiga papuchi laki tatu
Kucheat kupo ila mwanaume anaekumbuka nyumbani ni mzuri sana
 
Mkeo kakuloga afu we unadhani eti kweli hutamani.

Ushachotwa mchanga wewe jitambue, kalagabao.
 
utuambie unampelekaga wapi mkeo na Sie tupate maujanja.

ni vizuri umfundishe kunywa bia najua akizoea ata enjoy sana kununuliwa bia na kubambiwa na wanaume wengine bar.
housegirl inaonekana bado hujapokea elf 30 za mshahara wako naona una moto kweli kweli. njoo kigamboni unywe bia
 
Sante kwa elimu ya Ukimwi mkuu, Ila na ww upunguze bia sasa, unakaribisha kitambi na matatizo ya uzeeni kama kisukari na presha ya kupanda
 
Waiter zungusha
kwa mleta Mada
 
utuambie unampelekaga wapi mkeo na Sie tupate maujanja.

ni vizuri umfundishe kunywa bia najua akizoea ata enjoy sana kununuliwa bia na kubambiwa na wanaume wengine bar.
atoto njoo umchukue ndugu yako, me amenichosha jamani hahaha. Eti ataenjoy sana kununuliwa bia na kubambiwa
 
Aiseee!!! You are so SMART kichwani. Big Up Sana. You've really inspired me. Cku zote hua naamini Kama mtu uko safe in terms of healthwise lazima uijali afya yako. Afya ndo kila kitu. Naomba mungu anijaalie mume mwenye msimamo kama wako. Ameen InshaAllah
 
Sante kwa elimu ya Ukimwi mkuu, Ila na ww upunguze bia sasa, unakaribisha kitambi na matatizo ya uzeeni kama kisukari na presha ya kupanda
nakwambia toka thread ianze umeona amezungusha round ngapi ? karibu wote tumenunuliwa bia. ndo zake huyu halafu nyumbani kaacha shigapi eti??
 
nakwambia toka thread ianze umeona amezungusha round ngapi ? karibu wote tumenunuliwa bia. ndo zake huyu halafu nyumbani kaacha shigapi eti??
ukiona mwanamke unapewa hela ya matumizi kila siku basi ujue una matatizo ya ufujaji, mi natoa hela ya mwezi mzima sitaki usumbufu, karibu bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…