Kama ana tabia hizi, jua umeoa mwanamke Malaya (slut)

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,410
6,067
Wakuu habari,

Leo nataka niwajulishe ndugu zangu waliooa,baadhi ya tabia ambazo ukiziona kwa mke wako,zaidi ya tabia mbili au zaidi jua umeoa kicheche,na ujue hatabadilika,maana hakujifunzia hapo kwako,watu wengi wameoa wanawake na wanakuja hapa jukwaani kulalamika mno,lakini kuna tabia ukiziona kwa mwanamke jihadhari nae kamwe hatatulia ndani milele.

Nazo ni:

1.Yupo social zaidi yako: wanawake wengi malaya wapo social na humo huficha makucha yao kwa namna nyingi mno,ataenda kwenye parties,harusi,kitchen party,birthdays etc ukiona yupo very mixed in It bro,huyo ni danger.

2. Hana hisia sana za kike: Wanawake wengi malaya wanakua kama tomboy,wengi hawana zile hisia za kike kabisa, hana machozi ya karibu wala si mtu wa kudeka deka kabisa,ukiona mke yupo hivyo, nenda tu kanisani ukaombe mno.

3. Ana marafiki wengi wa kiume: hii inawachanganya wengi ila kiukweli katika marafiki 10 utakuta 9 washamgonga kimya kimya na kwa ]sababu unamuelewa kwamba yeye hapendi marafiki wa kike,jiandae kulia kilio cha mbwa mwizi kak.

4. Ana Matatizo na baba yake: kuna uhusiano mbaya wa wazazi hasa wakiachana,na hapa binti huwa anaharibika sana,na mahusiano yake na baba yake yanavyozidi kuwa mabaya na ukicheche wake unazidi,niamini kaka chunguza mabinti wengi ambao wana mahusiano mabaya na baba zao utanipima kwa mshangao,hili nina ushahidi nalo mno.

5. Watu kumkonyeza mbele yako: Hili wanaume wengi huwa hawalielewi ila ukiwa na mke na bado wanaume wengi wanamkonyeza au kumpa signal ukiwa nae usifikiri ni mzuri sana hapana ila ni body language yake anayoidisplay ndio inampa attention anayoitaka, huyo ni hatari ni kicheche qualified, wanaume hatutoti tu signal bila kupewa go ahead, kuanzia macho hadi mavazi ya mtu wako.

6. Anapenda kunywa pombe: Hili liko wazi kabisa,ila ni hatari sana kama mke wako anapenda kunywa pombe peke yake maana anajua kabisa madhara ya pombe na hataki akilewa uwe around,huyu jua moyo wake unatanga tanga.

7. Wivu kupitiliza: Mwanamke kicheche ana wivu wa kupitiliza,hili naamini ni la kisaikolojia zaidi we unaweza kuwa unamuamini ila yeye hatakuamini kabisa.

8. Alishawahi kucheat: mkiwa mke na mume mara nyingi mke atakupigia story za zamani, akikupigia story kwamba aliwahi kum-cheat boyfriend wake wa zamani fahamu huyo ni kiboko, hawezi kuacha ku-cheat.

9. Ametoa mimba nyingi: Huyu hata sihitaji kukueleza ni kicheche,ila pia anakua na roho ngumu sana.

10. Ana wehu wakati mwingine: Ulishaona humu ndani watu wanalalamika wanawake wanavunja vitu, wanawatukana na mengineyo, huo ni wehu, na wakiwa wehu wanawake wengi wanatulizwa na sex, kama haupo around, imekula kwako bro.

Haya ni maoni, sio lazima mtu akiwa na sababu moja ndio udhani yupo hivyo hapana,ila ni kama angalizo, watu wengi wameingia kwenye matatizo makubwa mno kwa kuingia kwenye mahusiano ambayo yamewatesa au yanaendelea kuwatesa mno na kama mtapata watoto ndio inakua mbaya kabisa.

Jitahidi kuangalia hizo sababu na kama hujaoa epuka mwanamke wa aina hii, kama umeoa omba sana MUNGU akuonyeshe njia za kutatua la sivyo utakua kichaa na wewe.
 
1,3,4,7,9,10 sitakuja kusahau ndio zilikuwa sifa za girlfriend wangu wa kwanza,alikuwa mpare aisee alikuja kunikata wenge vibaya mno...Nashukuru mungu lilikuwa funzo kwangu na baada ya ku recover tangu hapo nilipata kumjua mwanamke ni kiumbe wa namna gani na ni jinsi gani natakiwa niishi nae, sahivi ni bata tu kilio nimekihamishia kwao! Got non to lose but they virginity:):):):):):)
 
1,3,4,7,9,10 sitakuja kusahau ndio zilikuwa sifa za girlfriend wangu wa kwanza,alikuwa mpare aisee alikuja kunikata wenge vibaya mno...Nashukuru mungu lilikuwa funzo kwangu na baada ya ku recover tangu hapo nilipata kumjua mwanamke ni kiumbe wa namna gani na ni jinsi gani natakiwa niishi nae, sahivi ni bata tu kilio nimekihamishia kwao! Got non to lose but they virginity:):):):):):)
Mkùu we una bahati mno wenzio wanaachiwaga maumivu muda mrefu sana yaani hata wàkati mwingine maisha yao yanaharibika kabisa
 
Back
Top Bottom