Usingizi huathiri mahusiano..............lala vya kutosha!

Usingizi huathiri mahusiano..............lala vya kutosha!

Tatizo sio Cahkula chausiku hata kidogo, nikawaida yangu tangu nilipo mzaa mtoto wangu wa kwanza tatizo ndio limeanzia hapo nadhani labda vile kila mara naamka kuangalia mtoto mara asubuhi salaa lakini sioni kama nitatizo sababu nisha zowea,sipendi kuongeza chakula cha usiku mara mbili moja tuu ikifanywa vizuri inatoshaa na naridhika lakini hilo sio sababu yakuninyima usingizi,mawazo tuu yadunia sema kila mtu anayachukulia na yana muathiri kwa style yake..

promiseme je una shughuli za kutosha za kufafanya usikie uchovu ikifika jioni au kila kitu unafanyiwa?
 
promiseme kiasi yako inajumusisha kuwa hupata vijiko viwili kwa kutwa au unalalishwa na njaa.............ya kimfungo wa kulazimishwa...............................kulingana na maelezo yako njemba yako hulala.....yaelekea ni mvivu kukufikisha utakako.............................funguka nikupe tiba kamilifu!
haahah Anapana Ruta, NASHIBA kweli nimoja tuu lakini analifanya kwa ufasaha na kwa ubunifu wallah simtoi shukrani sema majukumu mengi na ukishakua mama tena ndio yanazidi lakizi sio tatizo na hainikeri naunajua nafanya kazi nikirudi nyumbani kupika kuangalia watoto H/W Mumenae umpikie chakula ale muongee mawili matatu ya maisha ndugu nao ndio usiseme sasa yote kwangu yanachangia lakini alhamdulillah nishazowea...
 
promiseme fanya majaribio....anza na cha pili khalafu nijuze....................nina uhakika usingizi utakuzidi kimo.....................yabidi akuchoshe kikabisakabisa.............khalafu utaona kama kuna cha kuamkaamka tena...........na hii iwe angalau mara tatu kwa wiki..........siyo swala la kushiba ila swala la kukidhi mahitaji ya asilia...................one is only the beginning of an end...where the second trip is the ultimate goal...............it is long, winding and exhausting one...who can resist the sleep thereafter?
 
Kumbe mimi ninaye amka 7:30 nimo mfaida eeh! Long live laziness!
 
Walau miaka hii niko alone nalala usingizi ninavyoamua.

Miaka hiyo Rutashubanyuma yakusubiri mtu hadi usiku wa manane
akirudi akupe kwanza vipande vyako akijihami ili usijemwambia
kuwa una hamu naye................. weeee hapo hakuna kulala
tena ni mawazo hadi kunakucha.....dah Mungu apitishe mbali

............don't try this at home.....................
 
Kumbe mimi ninaye amka 7:30 nimo mfaida eeh! Long live laziness!

hahaha nakuunga mikono na miguu kiukweli mie kuamka mpaka niweke alarm lasivyo saa 9.00 am ndo nashituka,live long laziness
 
Walau miaka hii niko alone nalala usingizi ninavyoamua.

Miaka hiyo Rutashubanyuma yakusubiri mtu hadi usiku wa manane
akirudi akupe kwanza vipande vyako akijihami ili usijemwambia
kuwa una hamu naye................. weeee hapo hakuna kulala
tena ni mawazo hadi kunakucha.....dah Mungu apitishe mbali

............don't try this at home.....................
pole sana mamdogo,kumbe sahizi uko single ngoja nikutafutie ba'mdogo.
 
Ni kweli kabisa kaka Rutashubanyuma na katika changamoto ambazo tumepewa duniani basi mwanamke ni challenge ya kwanza
Mokoyo nakwambia kama anapenda kubonga hovyo hasa kukulaumu au kukulinganisha na mahasimu wako na kujenga dhana ya kuwa huna mafanikio..................................usingizi utatoka wapi na ndiyo maana Muumba alitukanya hivi:-

PROVERBS 21:9/ 25:24

"It is better to dwell in a corner of a rooftop than to share a house with an angry and a contentious woman."
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    9.4 KB · Views: 121
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi mistress yangu isivyoisha mi na usingizi mbalimbali
 
Acheni kueneza ujinga!hakuna mafanikio au maendeleo kwa mtu anayeendekeza usingizi!Kama mnataka kulala ili muwaridhishe wapenzi wenu to hell!Mimi sitalala hadi niache mafanikio kwa kizazi changu.Miafrika tumezoea kumeza tu kila utafiti uliofanywa na wazungu na hasa unaohalalisha uzembe na ngono!Fanyeni kazi sio kulala saa 12 jioni alafu asubuhi saa 3 kazini,huu ni uzembe,uvivu,na ushenzi tu wa mwafrika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mie sijielewi kuna siku nina usingizi na kuna siku sina hata kidogo naweza ingia kitandani saa 9 alfajiri..nagaragara kwa bed mpaka nakereka, nitaamka ninywe hata chai mara niwatch telly, duh!!..
 
mie sijielewi kuna siku nina usingizi na kuna siku sina hata kidogo naweza ingia kitandani saa 9 alfajiri..nagaragara kwa bed mpaka nakereka, nitaamka ninywe hata chai mara niwatch telly, duh!!..
Dr. Yegomasika ni daktari bingwa wa matatizo kama hayo. please BJ, muone haraka kwa utabibu!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom