Usingizi huathiri mahusiano..............lala vya kutosha!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
A-sleepless-woman-next-to-012.jpg

When people don't get enough sleep, changes to genes that control metabolism may trigger or exacerbate conditions such as diabetes or obesity. Photograph: Getty

Cheza na kujinyima usingizi kwa sababu yoyote ile utashangaa hata kwenye mahusiano unapwaya vibaya sana:-

Wanaojishindisha njaa ya usingizi hukumbwa na dhoruba zifuatazo za kimahusiano:-

1) Kinga ya mwili huyoyoma na kuwa teja wa magonjwa mbalimbali nyemelezi. Hivi mpenzi yupi atakukubali kama kila wakati wewe ni spana mkononi? Asikudanganye mtu ukiwa goigoi wachache sana watajikongoja nawe.......................labda muwe mlikwishashibana kwa kipindi longi hivi ............vinginevyo utaonekana ni zigo la kushushwa tu.

2) Usagaji chakula nao huathirika kutokana na kukosa usingizi na mrundikano wa mafuta mwilini hujitokeza na kukuelekeza kwenye karaha za magonjwa ya moyo. shinikizo la damu, kisukari, saratani n.k.......sasa kwanini upate shida hii yote ya kuanza kubugia midawa ambayo hata huifahamu na ambayo itakuletea athari nyinginezo ambazo hata huzijui?...........lala kiuhakika na ufurahie maisha kama Muumba alivyokupangia usitafute shari hata siku moja.

3) Uchangamfu hutoweka. Hivi mpenzi yupi atakufurahia anapokuona kila wakati umefurika na simanzi? Tabasamu huvuta mengi na simanzi hufukuza mengi........pia. Usimfukuze mwandani wako kwa kujikosesha usingizi....................nakuambia uuchape.......................ebo!

4) Msongo wa mawazo huwasumbua usiku mzima wale ambao huwa hawapati usingizi wa kutosha. Ubongo hutumika kutafakari mambo ambayo yako nje ya uwezo wake na hivyo kuwa kazi ya kupoteza muda...........................just sleep and relax........kuna mengineyo hupaswi kuyafanya kwani umewekewa mipaka................lala kabla ya saa nne usiku na amka saa 11 au 12.........jihakikishie masaa angalau saba ya usingizi. usitumie vikali, vinywaji au kula vyakula angalau masaa mawili kabla hujajigaraza kitandani.........ukifanza hivyo mwili utakuwa umefyagia uchafu wote ambao ungelikuamsha usiku na kukupunguzia masaa ya kuuchapa....................UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUCHAPE LOL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa mada ya ziada hebu soma hii:-

Sleeping less than six hours a night skews activity of hundreds of genes

Genes affected by lack of sleep include those governing the immune system, metabolism and the body's response to stress
 
A-sleepless-woman-next-to-012.jpg

When people don't get enough sleep, changes to genes that control metabolism may trigger or exacerbate conditions such as diabetes or obesity. Photograph: Getty

Cheza na kujinyima usingizi kwa sababu yoyote ile utashangaa hata kwenye mahusiano unapwaya vibaya sana:-

Wanaojishindisha njaa ya usingizi hukumbwa na dhoruba zifuatazo za kimahusiano:-

1) Kinga ya mwili huyoyoma na kuwa teja wa magonjwa mbalimbali nyemelezi. Hivi mpenzi yupi atakukubali kama kila wakati wewe ni spana mkononi? Asikudanganye mtu ukiwa goigoi wachache sana watajikongoja nawe.......................labda muwe mlikwishashibana kwa kipindi longi hivi ............vinginevyo utaonekana ni zigo la kushushwa tu.

2) Usagaji chakula nao huathirika kutokana na kukosa usingizi na mrundikano wa mafuta mwilini hujitokeza na kukuelekeza kwenye karaha za magonjwa ya moyo. shinikizo la damu, kisukari, saratani n.k.......sasa kwanini upate shida hii yote ya kuanza kubugia midawa ambayo hata huifahamu na ambayo itakuletea athari nyinginezo ambazo hata huzijui?...........lala kiuhakika na ufurahie maisha kama Muumba alivyokupangia usitafute shari hata siku moja.

3) Uchangamfu hutoweka. Hivi mpenzi yupi atakufurahia anapokuona kila wakati umefurika na simanzi? Tabasamu huvuta mengi na simanzi hufukuza mengi........pia. Usimfukuze mwandani wako kwa kujikosesha usingizi....................nakuambia uuchape.......................ebo!

4) Msongo wa mawazo huwasumbua usiku mzima wale ambao huwa hawapati usingizi wa kutosha. Ubongo htumika kutafakari mambo ambayo yako nje ya uwezo wake na hivyo kuwa kazi ya kupoteza muda...........................just sleep and relax........kuna mengineyo hupaswi kuyafanya kwani umewekewa mipaka................

Kwa mada ya ziada hebu soma hii:-

Sleeping less than six hours a night skews activity of hundreds of genes

Genes affected by lack of sleep include those governing the immune system, metabolism and the body's response to stress

Siyo kwamba watu wanapenda kutokuwa na usingizi, la hasha. Mtu mwingine anawahi kabisa kitandani akisema anataka alale mapema lakini anachelewa kupata usingizi. Toa suluhisho la kufanya ili watu wapate usingizi kuepukana na matatizo hayo.
 
LINCOLINMTZA maswali mazuri sana..........

.la kwanza Usingizi ni suala la kiroho Soma Psalms 127:3.........."And HE so gives His beloved sleep."...........

.la pili ni kuwa tutambue kuwa tuna mipaka na hivyo tuondoe tamaa ya mafanikio makubwa sana ambayo huweza kutufanya tuwe na msongo wa mawazo ambayo yanaweza kutfanya tusilale.

La tatu chukia dhambi.......................Ukiwa unajihusisha na dhambi ujue huwezi kuwa na amani kwenye moyo wako....Jisomee Isaiah 48:22 na 57:21 "There shall be no peace for the wicked." says the LORD of hosts.

la nne, hakikisha unafanya shughuli za kutosha ili upate sababu ya kulala. Msingi wa kulala ni kupumzika sasa kama mchana wote ulikuwa umelala unajiondolea uwezo wa kulala usiku.

Tano, usitumie aina yoyote ya mlo au kinywaji masaa mawili kabla ya kulala na usiku usiamke kugigida au kugigidwa..............uuchape tu...............................maana ukivuruga usingizi kuupata tena inaweza kuwa nayo ni shughuli pevu............................

Sita, chunga chumba chako cha kulala kiwa kwenye mazingira ya kukuhamasisha kuuchapa..................wekeza kwenye godoro, kitanda, mto shuka, blanketi, nyavu kwenye madirisha kuzuia wadudu hususani mbu, na mwezio mnayelala naye asiwe anakoroma..............au akawa anapenda shari kila mkiingia kitandani...................changamoto hizi zaweza kukunyima...."His Beloved sleep."

Saba, hakikisheni mnafikishan mtakako. Kwa ushauri wa nasaha........peaneni viwili kwa kutwa..................angalau mara tatu kwa wiki.

nane,,,,,,,,,,,,,,,,,,,jaziliza nawe. khaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Hii inawahusu wala Miraa!

Ndallo kheri ya hao watafuna miraa maana ni uamuzi wao...........shida kubwa iko kwa siye ambao hata miraa hatujui ni nini.............
 
stahili ya kulala inategemea pia position ya kitanda

Mokoyo ni kweli ubora wa kitanda, godoro na hata mto vinaweza kuchangia kukupa usingizi mzuri au kukunyima usisingizi mwema............na hata yule ambaye mnalala nae......................kama ni mtu wa shari kila wakati mkiingia kitandani basi itakuchukua muda mrefu kuupata usingizi...............so be watchful on whom climbs in your bed, too...............
 
Mkuu nimefurahia hiyo tahadhari hapo kwenye red

Mie naona kuna wengine wamejaaliwa usingizi,kwamfano mume wangu Mashallah akisha sema analala basi dakika 5 nyingi,hata awe kuna jambo linamkera vipi,ila mimi ndio oooooooo ntajenga Burj Khalifa nipangishe mpaka nikija kulala hoi,
na mtu akiangusha hata pen ntaamka na silali tenaaaaaaa..
 
Mokoyo nakwambia kama anapenda kubonga hovyo hasa kukulaumu au kukulinganisha na mahasimu wako na kujenga dhana ya kuwa huna mafanikio..................................usingizi utatoka wapi na ndiyo maana Muumba alitukanya hivi:-

PROVERBS 21:9/ 25:24

"It is better to dwell in a corner of a rooftop than to share a house with an angry and a contentious woman."
 
Mie naona kuna wengine wamejaaliwa usingizi,kwamfano mume wangu Mashallah akisha sema analala basi dakika 5 nyingi,hata awe kuna jambo linamkera vipi,ila mimi ndio oooooooo ntajenga Burj Khalifa nipangishe mpaka nikija kulala hoi,
na mtu akiangusha hata pen ntaamka na silali tenaaaaaaa..

promiseme nikuonavyo unapenda makuu wakati hujajipima ulichopangiwa. Mwenza wako kesha jipima na kaona ukweli ulipo kwahiyo anauchapa...........................angalia usiwe unamsengenyasengenya na yeye akaanz akuwa kama wewe..................fuatilia vigezo vya kuupata usingizi nilivyovibandika khalafu uone wapi pa kuboresha..............
.la kwanza Usingizi ni suala la kiroho Soma Psalms 127:3.........."And HE so gives His beloved sleep."...........

.la pili ni kuwa tutambue kuwa tuna mipaka na hivyo tuondoe tamaa ya mafanikio makubwa sana ambayo huweza kutufanya tuwe na msongo wa mawazo ambayo yanaweza kutfanya tusilale.

La tatu chukia dhambi.......................U kiwa unajihusisha na dhambi ujue huwezi kuwa na amani kwenye moyo wako....Jisomee Isaiah 48:22 na 57:21 "There shall be no peace for the wicked." says the LORD of hosts.

la nne, hakikisha unafanya shughuli za kutosha ili upate sababu ya kulala. Msingi wa kulala ni kupumzika sasa kama mchana wote ulikuwa umelala unajiondolea uwezo wa kulala usiku.

Tano, usitumie aina yoyote ya mlo au kinywaji masaa mawili kabla ya kulala na usiku usiamke kugigida au kugigidwa..............uuchape tu............................ ...maana ukivuruga usingizi kuupata tena inaweza kuwa nayo ni shughuli pevu.......................... ..

Sita, chunga chumba chako cha kulala kiwa kwenye mazingira ya kukuhamasisha kuuchapa..................weke za kwenye godoro, kitanda, mto shuka, blanketi, nyavu kwenye madirisha kuzuia wadudu hususani mbu, na mwezio mnayelala naye asiwe anakoroma..............au akawa anapenda shari kila mkiingia kitandani...................ch angamoto hizi zaweza kukunyima...."His Beloved sleep."
 
Mie naona kuna wengine wamejaaliwa usingizi,kwamfano mume wangu Mashallah akisha sema analala basi dakika 5 nyingi,hata awe kuna jambo linamkera vipi,ila mimi ndio oooooooo ntajenga Burj Khalifa nipangishe mpaka nikija kulala hoi,
na mtu akiangusha hata pen ntaamka na silali tenaaaaaaa..

Hata ukiwa umepewa chakala cha usiku na umeshiba au huwa unalala na njaa?
 
Nikisha pesa hicho chakula chausiku nikimaliza kukoga tuuuu nalala lakini sio zaidi ya masaa ma4 baada ya hapo lazima niamke kidogo japo masaa ma 3 ndio nilale tena...
 
Basi itakuwa hushibi vizuri maana ukiuliza kina Mtambuzi au MziziMkavu watakwambia ukishiba fresh huwezi kosa usingizi
 
Last edited by a moderator:
Hata ukiwa umepewa chakala cha usiku na umeshiba au huwa unalala na njaa?

Kaizer pengine hafikishwi atakako na hii pia yaweza kumletea usongo wa mawazo na akawa akigutuka usiku kwa matarajio atazabuliwa tena..................
 
Nikisha pesa hicho chakula chausiku nikimaliza kukoga tuuuu nalala lakini sio zaidi ya masaa ma4 baada ya hapo lazima niamke kidogo japo masaa ma 3 ndio nilale tena...

promiseme nionavyo kukoga na kulala papo kwa hapo pia ni tatizo. Kuoga kunaamsha hisia nyingi za kimwili na hivyo kukufanya uchukue muda mrefu kujipatia usingizizi..............shughuli nzito zote na zile za kule mahala.................zifanyike mapema................kama masaa mawili kabla ya kuuchapa.......khalafu nipe taarifa.
 
Basi itakuwa hushibi vizuri maana ukiuliza kina Mtambuzi au MziziMkavu watakwambia ukishiba fresh huwezi kosa usingizi

Kaizer labda promiseme atujuze huwa anapata cha pili maana hicho ndicho huwa cha kulalia...cha kwanza pekee yake kinaweza kumletea usongo wa mawazo ya kutoridhika na kumfanya usiku agutuke kama vile anatarajia aongezewe cha pili asipokipata anakuwa na simanzi kali ya masaa matatu hadi usingizi umchukue tena..........
 
Sio kweli ...nashiba kiyasi changu....Alhamdulillah....... .....

promiseme kiasi yako inajumusisha kuwa hupata vijiko viwili kwa kutwa au unalalishwa na njaa.............ya kimfungo wa kulazimishwa...............................kulingana na maelezo yako njemba yako hulala.....yaelekea ni mvivu kukufikisha utakako.............................funguka nikupe tiba kamilifu!
 
Kaizer labda promiseme atujuze huwa anapata cha pili maana hicho ndicho huwa cha kulalia...cha kwanza pekee yake kinaweza kumletea usongo wa mawazo ya kutoridhika na kumfanya usiku agutuke kama vile anatarajia aongezewe cha pili asipokipata anakuwa na simanzi kali ya masaa matatu hadi usingizi umchukue tena..........
Tatizo sio Cahkula chausiku hata kidogo, nikawaida yangu tangu nilipo mzaa mtoto wangu wa kwanza tatizo ndio limeanzia hapo nadhani labda vile kila mara naamka kuangalia mtoto mara asubuhi salaa lakini sioni kama nitatizo sababu nisha zowea,sipendi kuongeza chakula cha usiku mara mbili moja tuu ikifanywa vizuri inatoshaa na naridhika lakini hilo sio sababu yakuninyima usingizi,mawazo tuu yadunia sema kila mtu anayachukulia na yana muathiri kwa style yake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom