Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,105
- 41,620
First time nasoma thread yako da Marcy.Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku ana mke aliye mvisha pete ya thaman?!!
Iko siku nawe atakubwaga
Wanaume wa namna hii
Wanajichukia na ndio maana hawawezi kumpenda mtu yoyote
Sisi wanaume ni tofauti na nyingi wanawake ndio maana mfalme Suleiman alikua na wake wengi Sanaa na wote aliwahudumia.
King 👑 mswati na yeye hupigiwa gwaride na kuongeza mke mpya kila mwaka
From experiences unaweza ukaoa ndipo ukakutana na soulmate wako trust me mtu ambae mna crick kwa mnapenda na kuelewana Sana unakua Kama series ya ""THE LOST KINGDOM""
Kikubwa ni kuwa heshimu wake zetu Kama huyu wa kwangu penzi letu Kama New ride kila siku kumsaliti ikitokea huwa najilaumu Sanaa