Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

Kiuhalisia mm nina elimu kumshinda, na wakati nipo nae nilikuwa sijapata kazi ila kwa sasa nina kazi ila kama ulivyosema tamaa ndy inawaandama hawa wenzetu wa kushoto
Kuna baadhi ya wanawake wanatoka kijijini kbsa, maji wanachota kwa ndoo kichwani na wanakula makande. Ila wakifika mjini na wakikutana na watu hutamani vitu vizuri kushinda uwezo wao. Wanaanza tamaa
Usifanye mambo kumfurahisha mwanamke wala usiwekeze kwa mwanamke. Wekeza kwenye maisha yako.
Mwanamke akikuomba hela ya ada yaani kumsomesha, hiyo hela kanunua hata tv uangalie.
Utatumia hela nyingi kwa mwanamke na mwisho wa siku mnaachana. Kuna faida gani?
Hata mwanamke akikuomba elfu 50, mpe 10,000 nyingine nunua hata pazia la mlangoni. Weka
 
Nashukuru kaka!!
Ila nimejifunza kwa kias cha kujifunza moja ya changamoto za mahusiano!!
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
1) Unaweza kuona kuwa huu ni ushuhuda mkubwa na ni funzo ila, utakua unakosea sana. Huyo msichana alikuwa ni mdogo na alikuwa anataka mtu wa kuwa naye kwa kipindi. Fikiri hata serikali ingejua ingekupiga 30!
2)Hata kama alikuwa serious mwanzoni na ndoa. Inawezekana down the road aliona vitu kwako akajua wewe si mtu sahihi kwake ama yeye si sahihi kwako.
ONE : Huu ushahidi umekosa sifa kutumika kwenye Hukumu yako kwenye heading (The assertion is wrong for the conclusion)
HEADING : Usimwamini Mwanamke asiye mama yako.
TWO : Sijaona mama yako anaepukaje hiyo assumtion kuwa wanawake wote ni waongo (Kwenye mapenzi). Maana baba yako hatakiwi kumuamini mama yako, because she is a liar (Your standing point not mine).
Ukisema ni kwenye mapenzi yako wewe tu hawezi kudanganya, I can say Yes. But then she is not the one carrying the luggage of loving you and being with you!

Hapa huna point ya kurefer Trust. Wewe unachomaanisha ni genuine intention ya your welfare in decisions. Ni kweli mama atascore one of the highest points, because the she knows ukiharibu au ukifaniniwa she'll be there to pick up the mess. Wengine ni option kubaki na wewe ndio maana huwaamini.

ADVICE: If at one point you make a generalization (Mfano: asssumption yako kuwa wanawake wote ni waongo). The most probable reason is YOU have issues yourself. Either origin yake ni from your upbringing or your life approach and subsequent experiences, wewe wajua.
Kama hujaelewa hiyo jua hii : Watu wanapanda mahindi miaka minne na hawapati mavuno. Hawasemi mahindi huwa hayaoti. Watabadili, mbegu, shamba, mbolea, wakati wa kulima. Hadi watoboe.
Huyo form 4 kakushinda enda jaribu form 6 acha kukatisha watu tamaa hapa
 
Mkuu unapelekeshwa na kitoto Cha form four[emoji1787][emoji1787]! Vitoto vya form four vinapenda vijana barobaro. Suruali fupi na zimefungiwa na kamba za viatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
Duuh story hii mbona inafanana na ya kwangu japo inaachana kwenye maswala ya elimu...wangu alienda kwa kusalimia
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
Ata mama wakati mwingine anaweza kukuvuruga ubongo mpk ukome we kukutafutia mke mchezo 💙🤣🤣
 
Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayeweza kumtoa mwanaume bikra ya moyoni na Ili uwe mwanaume lazima utolewe bikra ya moyoni taka usitake.

Sasa ushakuwa kijana wetu , karibu huku kwa wanaume na hakikisha muda wote unakuwa na akili zako karibu
 
Nimependa hiyo, hakikisha muda wote unakuwa na akili zako karibu. Asiende na moyo aka acha akili nyumbani.
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
TAFUTA HELA
 
Back
Top Bottom