Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

Hizi shida zilianzia huko bustani ya Eden, Ni asili ya Wanawake kubadilika badilika.
 
We ndo mwenye makosa,mtoto wa form four bado hajawa na maamuzi yanayoeleweka anaweza kubadilika mda wowote bado ni mdogo pia mie hata baada ya kumaliza form six nisingekubali kuolewa kuna jamaa walitaka kunioa ili nilitafuta sababu mpaka wakakata tamaa,ni kwamba sikuwa tyari kuolewa kwa wakati huo alafu mwanafunzi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Unapima upendo kwa kitoto cha form four?

Alikuwa hajakuwa tu huyo, kwa sasa amekuwa kapata wa size yake.

Mwisho, acha
kusingizia wanawake wote eti kasoro mama mzazi. Wapo wadada wanaojielewa
[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Sawa mlikuwa kwenye mahusiano hatukatai ila suala la kwamba mlikuwa mnapendana liache kwanza sema tu ulikuwa unampenda bas yeye pia angekuwa anakupenda asingefanya hayo ulotwambia hapa mkuu pole alafu vitoto vya form four sio vya kuunda navyo mahusiano maana hapo bado hakijaenda advance au chuo cha kati vinakutana na maisha tofauti vikienda university ndo kabsa vinakuwa havina tena muda na hayo yaliyopangwa nyuma
 
Actually itamsaidia, benefit of doubt ni kitu bora sana. Itamuwezesha kufanya maamuzi kupitia akili (logic) na sio hisia maana mchumba au mke sio ndugu yako hata mzae pamoja.
Mkuu mapenzi ni hisia, logic inafuata baadae, mtu akiwa na wasiwasi either atakuwa insecured, watu wa hivi huwa hawaeleweki kwenye mahusiano,to show commitment ni ngumu au pili kuwa na u possessiveness atataka kujua mpenzi wake yupo wapi,na nani, kucheki simu etc yote sio nzuri kwa mahusiano yaliyo healthy.
 
inawezekana wazazi wake wamekataa kweli kuhusu ndoa, ukiweka consideration ndio kwanza kamaliza kidato cha nne, bado ana safari ndefu kielimu,bado mdogo, au yeye mwenyewe katambua hili.
 
Mkuu mapenzi ni hisia, logic inafuata baadae, mtu akiwa na wasiwasi either atakuwa insecured, watu wa hivi huwa hawaeleweki kwenye mahusiano,to show commitment ni ngumu au pili kuwa na u possessiveness atataka kujua mpenzi wake yupo wapi,na nani, kucheki simu etc yote sio nzuri kwa mahusiano yaliyo healthy.
Atumie hisia tuje tumpe faraja hapa, muache mwanamke atumie hisia ila kwa mwanaume, unajitafutia anguko lako kubwa maana ulimwengu hauna huruma hata chembe kwa mwanaume. Usije mshauri hata kidogo kaka yako afanye hivyo. Pili huo wasiwasi inabidi ukufanye a sigma person yaani usiyatilie maanani, mkazo wala kuweka useriousness kwenye mahusiano au mapenzi. Yapo tu. Sasa yakimfanya aanze kuwa insecured basi ni mjinga wa akili na hafai kuoa. Narudia tena mke au mpenzi sio ndugu yako.
 
Mpenzi wako wewe alikua attracted to you/ulikua attracted kwake au ulitumia logic kumpata???

Hujui kama experiences zinawafanya watu wanakua insecured, na sio wanawake tu hadi wanaume???

Mke kama utamchukulia kama ndugu mapenzi yatakua na furaha sana, sio kama unamchukulia kama adui,mtu ambae hawezi kuwa trusted, ndio principle ya mahusiano ya furaha...

Kama unataka ndoa iwe kama formality tu kuwa ni ndoa basi ishi na mtu haumtrust,

Kuna tofauti kubwa kuishi na mtu kwa mazoea/formality na mahusiano ya furaha...

I dont believe utakua na mahusiano ya furaha kama unaishi na mtu haumtrust, utaishi kimazoea tu...

If this is what you want thats fine
 
Mmi naona tatizo lipo kwako cjajua umri wako ila unaweka malengo kwa mtu asiye jielewa hana nyuma wala mbele inawezekana ni kitoto cha 4m 4 au darasa la saba ...alafu unakuja kuwalaumu hapa jitafatari kwanza
 
Mpenzi wako wewe alikua attracted to you/ulikua attracted kwake au ulitumia logic kumpata???

Hujui kama experiences zinawafanya watu wanakua insecured, na sio wanawake tu hadi wanaume???

Mke kama utamchukulia kama ndugu mapenzi yatakua na furaha sana, sio kama unamchukulia kama adui,mtu ambae hawezi kuwa trusted, ndio principle ya mahusiano ya furaha...

Kama unataka ndoa iwe kama formality tu kuwa ni ndoa basi ishi na mtu haumtrust,

Kuna tofauti kubwa kuishi na mtu kwa mazoea/formality na mahusiano ya furaha...

I dont believe utakua na mahusiano ya furaha kama unaishi na mtu haumtrust, utaishi kimazoea tu...

If this is what you want thats fine
Attraction au hisia huishi kwa muda mfupi tu, miezi 3 mpaka mwaka au miaka 3 basi kinachobaki ni kuvumiliana na kutimiza majukumu. Ndio maana ukaambiwa ndoa ni majukumu, mapenzi huyeyuka haraka sana. Furaha unaitengeneza mwenyewe hakuna mtu anayekupa furaha. Ndio maana taraka zimezidi, unaingia kwenye ndoa ukitegemea utapewa furaha, nani kakwambia, umeshindwa kuishi kwa furaha siku zote ndio huyo mtu akupe furaha. Huko ni kubebeshana mizigo. Halafu marriage sio fairy tale stories ni reality life, ishi kiuhalisia. Its not about what I want, its about living in reality. Biblia yenyewe imeniasa nitumie akili kuishi na wanawake, leo unaniambia nitumie hisia, 😂😂😂 unatania. Tena kwa kizazi hiki😂😂, God is seeing you my sis
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
Na usimuamini mwanaume asiye baba yako.
 
Back
Top Bottom