Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

Unapima upendo kwa kitoto cha form four?

Alikuwa hajakuwa tu huyo, kwa sasa amekuwa kapata wa size yake.

Mwisho, acha
kusingizia wanawake wote eti kasoro mama mzazi. Wapo wadada wanaojielewa
Thank you
 
Mahusiano nilishaaga sahau saiz nikutafuta utelez kwa gharama kidogo kisha unapita hv
Haba na haba hujaza kibaba.
Hiz gharama ndogo ndogo mwisho wa siku cumulatively ni kubwa sana plus risk nje nje za kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama sio ukimwi na mikosi ya ngono kwa kutembea na wanawale tofaut tofauti
 
Leo weekend Mkuu, kama bado Una stress nenda kiwanja kushushe minyama nyama na bia akili ikae sawa 🥴
 
Attraction au hisia huishi kwa muda mfupi tu, miezi 3 mpaka mwaka au miaka 3 basi kinachobaki ni kuvumiliana na kutimiza majukumu. Ndio maana ukaambiwa ndoa ni majukumu, mapenzi huyeyuka haraka sana. Furaha unaitengeneza mwenyewe hakuna mtu anayekupa furaha. Ndio maana taraka zimezidi, unaingia kwenye ndoa ukitegemea utapewa furaha, nani kakwambia, umeshindwa kuishi kwa furaha siku zote ndio huyo mtu akupe furaha. Huko ni kubebeshana mizigo. Halafu marriage sio fairy tale stories ni reality life, ishi kiuhalisia. Its not about what I want, its about living in reality. Biblia yenyewe imeniasa nitumie akili kuishi na wanawake, leo unaniambia nitumie hisia, 😂😂😂 unatania. Tena kwa kizazi hiki😂😂, God is seeing you my si

Hisia ina involve vitu vingi, emotions, sex, romance, hivi vitu haviishi baada ya miezi mitatu,unless una interpet hisia ni physical attraction peke yake, ambayo hata yenyewe kwa watu wengine haiishi baada ya miezi mitatu...

Ndoa sio majukumu peke yake, na si kweli mapenzi huyeyuka, labda kwa watu mnaochukulia ndoa ni formality, unaoa kisa umefikia umri fulani wa kuoa na sio kuwa umempenda huyo unayeenda kumuoa, Ukimpenda mtu from beginning hakuna kitakachofanya huu upendo uyeyuke ubaki kutimiza majukumu tu unless kuanzia mwanzo wewe ulioa ili utimize majukumu tu

Nadhani hatutaelewana kamwe, wewe huamini ndoa inampa mtu furaha, mimi naamini katika hili angalia watu wasiooa/olewa kama wana furaha??? binafsi naamini katika ku compliment each other, unanipa furaha nakupa furaha ndio ndoa yenyewe, kama hakuna furaha hii ni kuishi kimazoea, na ndoa ya kuishi kimazoea ni mtindo uliochagua mkuu hatukulaumu..,

Siko kwenye maandiko mimi,kila mtu ana interpret maandiko kivyake, naweza kusema mlivyoambiwa muishi na sisi kiakili, ni sababu tunapitia vitu/emotions nyingi from monthly periods,kuzaa, kulea, hivyo to avoid conflicts muishi na sisi kiakili sababu sio saa zote tuko na akili sawa...
 
Hizo emotions, sex sijui na romance vyote vinaishaga. No one will do sex with unattractive person maana mwili wa binadamu huzoeleka hata uwe Miss world, nothing new after 3 times of sex.
Nani kakwambia kuwa upendo umeisha ukiwa unaishi kwa logic. Bila upendo hayo majukumu utayafanya vipi sasa. Ila mambo ya mahisia yaishie ukouko na mwanaume asijaribu kuyatumia, mke/mpenzi sio ndugu yako.
Furaha jipe mwenyewe, na ndoa ni majukumu siku ikiwa nzuri mkacheka ndani fresh isipotokea basi ila sio kubebeshana mizigo ya kutafuta njia ya kumfurahisha mtu asiyetaka kufurahi.
Kama sio muda wote mna akili sawa kwamba mnakuwa mnageuka vichaa. Akili mnazo ila ni ujinga fulani ambao jamii imeuendekeza mbona mkiwa single wenyewe hampo mentally unstable. Tumeambiwa tuishi na nyie kwakuwa hamuaminiki.
 
Unapokaa ndoani kutimiza tu majukumu ndiko kuishi kwenyewe kwa kutumia logic, sasa huwezi kusema unakaa ndoani kutimiza tu majukumu (logic)halafu useme kuna upendo. Unaweza kutimiza majukumu;kumfulia mtu,kumpikia mtu bila kuwa na attachment/connection (love) na huyo mtu.

Mke/Mpenzi kama utamchukulia kama ndugu yako ndio utakua na ndoa ya furaha, sababu love is trust, ukimpenda na kumuamini mkeo ndivyo itakavyokua reciprocated, sasa huwezi kumpenda mtu bila kuwa na hisia nae,....(katika context ya mapenzi) ,

Hamuwezi kucheka ndani wote kama hakuna mmoja wenu aliyeleta jambo la kucheka, na kama kuna mmoja aliyeleta jampo la kufanya mfurahi ni kazi yake huyo mwingine next time kuleta jambo lakufanya wote wafurahi. Furaha ni 'duty' ya mwanandoa kumpa mwenzie, kama unadhani umeolewa kumpa mtu maudhi, kero inabidi ujiulize tena kuhusu hio ndoa,

Mimi siamini if you are emotionally, romantically, sexually attracted to someone huwa inaisha kama inakuwa invested, unless kuna magomvi, resentment, stress ambavyo ukiangalia ni vinatokana na kuishi kimazoea bila upendo...

Kuwa single na kutokua mentally unstable ina prove kuwa kupitia tunayopitia wanawake kulea,kuzaa etc kunatufanya vulnerable, ..kama unaongelea mothly periods hii hata tafiti zinasema huwa hatupo vizuri hizo siku...ingawa sio wote.
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
Sema ulimpenda sio mlipendana maana kama mlipendana haya yasingetokea.
 
Mmi naona tatizo lipo kwako cjajua umri wako ila unaweka malengo kwa mtu asiye jielewa hana nyuma wala mbele inawezekana ni kitoto cha 4m 4 au darasa la saba ...alafu unakuja kuwalaumu hapa jitafatari kwanza
Kamaliza form 6 sasa, na nimeanza nae mahusiano tangu yupo kidato cha nne
 
Unapokaa ndoani kutimiza tu majukumu ndiko kuishi kwenyewe kwa kutumia logic, sasa huwezi kusema unakaa ndoani kutimiza tu majukumu (logic)halafu useme kuna upendo. Unaweza kutimiza majukumu;kumfulia mtu,kumpikia mtu bila kuwa na attachment/connection (love) na huyo mtu.

Mke/Mpenzi kama utamchukulia kama ndugu yako ndio utakua na ndoa ya furaha, sababu love is trust, ukimpenda na kumuamini mkeo ndivyo itakavyokua reciprocated, sasa huwezi kumpenda mtu bila kuwa na hisia nae,....(katika context ya mapenzi) ,

Hamuwezi kucheka ndani wote kama hakuna mmoja wenu aliyeleta jambo la kucheka, na kama kuna mmoja aliyeleta jampo la kufanya mfurahi ni kazi yake huyo mwingine next time kuleta jambo lakufanya wote wafurahi. Furaha ni 'duty' ya mwanandoa kumpa mwenzie, kama unadhani umeolewa kumpa mtu maudhi, kero inabidi ujiulize tena kuhusu hio ndoa,

Mimi siamini if you are emotionally, romantically, sexually attracted to someone huwa inaisha kama inakuwa invested, unless kuna magomvi, resentment, stress ambavyo ukiangalia ni vinatokana na kuishi kimazoea bila upendo...

Kuwa single na kutokua mentally unstable ina prove kuwa kupitia tunayopitia wanawake kulea,kuzaa etc kunatufanya vulnerable, ..kama unaongelea mothly periods hii hata tafiti zinasema huwa hatupo vizuri hizo siku...ingawa sio wote.
Unatimiza majukumu yako ofisini na kazi zingine za supervisor kwani ulihitaji love kufanya hayo yote. Kumchukia boss wako siunaamua mwenyewe ila kuishi neutral na kucheka siinawezekana. Mwanaume ukitupa logic kwenye ndoa unajitakia majanga.
Stress kupitia kwenye hayo yote ni juu yako mwenyewe maana ni majukumu yako ya kiasili, ukitaka yaache. Pia hao wanawake wanaolea kipindi hiki wapo wapi. Kila mtu anataka housegirl. Mwanamke kubeba uzazi ni jambo la kuheshimiwa ila haimaanishi ndio ubehave na kuact very stupid na childish actually haikupi haki ya kuact bitchy!
 
Ndio maana nikaweka context ya mapenzi tunayoiongelea, sijui kwa nini umeenda ya ofisini....

Mkuu baki na msimamo wako, nibaki na wangu mapenzi hayahitaji logic....

Wanawake hata kama wana housegirl bado wanalea, unless umezaa unamtupia housegirl mtoto wako 24/7 napo kama mama ni instinct kutaka kujua mwanao anaendeleaje/kulea....

Ishi na sisi kiakili, sababu kuzaa sio jambo dogo, tuko vulnerable tafuta hata tafiti mwenyewe

Usiku mwema mkuu.
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.

Kesho wahi kanisani usali
 
Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.
Big mistake ilianzia hapa.

Mwanaume asiyejiamini hakuma mwanamke anayeweza kumpenda labda tu wale broke women
 
Habar za leo wana JF,

Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sisi vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.

Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapendana kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne. Tuliweka malengo na akawa sehemu kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.

Matokeo yalipotoka alienda mbali na mimi na kwa kuwa mimi nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu mahali karibu.

Tuliweka malengo ya kuoana ifikapo 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kusogea kwenye ratiba alibadilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.

Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu nimejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifunza mahali pengine popote zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.

Hawa madada tuwapende ila tusisahau.

Songoroka.
Unakimbikia kudanganya vitoto vya form Four?

We jamaa vipi?
 
Sasa hapo umejifunza nini? Kwanza ushakuja ukaanza mahusiano na madem wa Dar? Kama bado tulia hujui kitu bado.
 
Ndio maana nikaweka context ya mapenzi tunayoiongelea, sijui kwa nini umeenda ya ofisini....

Mkuu baki na msimamo wako, nibaki na wangu mapenzi hayahitaji logic....

Wanawake hata kama wana housegirl bado wanalea, unless umezaa unamtupia housegirl mtoto wako 24/7 napo kama mama ni instinct kutaka kujua mwanao anaendeleaje/kulea....

Ishi na sisi kiakili, sababu kuzaa sio jambo dogo, tuko vulnerable tafuta hata tafiti mwenyewe

Usiku mwema mkuu.
Nimeenda na wewe kiofisini kwasababu kila mahusiano ya sasa ni business contracts nasio mutual love and respect, hakuna mwanamke wa hekima hiyo kwenye kizazi chetu.
Your vulnerabilities are for you, learn to combat them, we are not here to help you on that kwasababu so far hakuna mwanamke anayetusaidia sisi chochote isipokuwa kufanya tendo la ndoa tu.
Usiku mwema sista, ila all on all, mke/mpenzi sio ndugu yako.
 
🫡🫡 respect....
 
Mkuu unapelekeshwa na kitoto Cha form four[emoji1787][emoji1787]! Vitoto vya form four vinapenda vijana barobaro. Suruali fupi na zimefungiwa na kamba za viatu
+ Tu sendo na vibegi kwa nyuma
Huviambii kitu kuhusu harmonaiz😆😆
 
Back
Top Bottom