Usimuumize mwenzio kama Hutaki kuumizwa

Usimuumize mwenzio kama Hutaki kuumizwa

Swala LA kuumiza kwenye uhusiano sidhan moja kwa moja kwamba watu wanafanya makusudi...nadhan kinachotokea..ni ile MTU mmoja anakua yuko serious na mwenzake ...lakini mwezake yeye anakua km ana jaribu mapenzi
 
Nachojua mimi ukimkataa mtu ipo siku utamtaka mtu naye atakukataa..

Kile unachofanya juwa utalipwa vile vile
 
Wee nawe utaachwa mchana kweupee uanze lalamika,utaitikiaje wito wa baby ako chumban kwa mwanamama mwingine aah
Nimekuja tayar nasikia sweet baby wangu analalamika. Paprika sorry dear am here for you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom