Usimpeleke mwanao shule za bweni

Usimpeleke mwanao shule za bweni

Siko hapa kukupangia namna ya kuishi na familia yako, ila naomba nikushauri kitu;

kumpeleka mwanao akaishi bweni kwanza ni ulimbukeni, kama mtoto ana akili, hata akisoma day atafaulu tu.
wapo wanaosoma wakiwa boarding awali mpaka form4.. na bado wanafeli!

hasara kubwa anayoipata mtoto ni kukosa malezi ya wazazi. Mtu aliesoma katika mazingira hayo, hata ukubwani utamjua tu!

sasahivi tuna vijana mpaka wazee wa hovyo sana lakini cha ajabu ni wasomi (walikosa malezi ya wazazi)

tunawapa wanawake lawama za kila rangi kumbe sio wao bali "walikosa malezi bora ya wazazi": binti wa for4 & std7 alielelewa na wazazi ni bora (anaweza kuwa mke bora) kuliko degree holder aliekulia boarding kipindi chote cha makuzi yake

kuna msemo huu:- "asiyefunzwa na wazazi dunia itamfunza"

umekosa nini mpaka mwanao ukamkabidhi mikononi mwa walimwengu wamfunze?

Kaa karibu na mwanao kwa faida yake, huko mbele kuna hatari.

NB. Nazungumzia watoto under18
Mmmm kila kheri ....
 
Kama huna akili huna tu ata uwe unafatana nyuma na wazazi wako

Najivunia kusomea boarding school tena boys tu nikiwa na miaka 14. Hakika nimemiss hekaheka za kutufunza na kutupa malezi yaliyojazia yale ya wazazi. Hakika Popote ulipo Mwalimu Laban Kansimba na timu yako ya Nyakato Sec ya bukoba kongole sana. Ukimpeleka mtoto shule ya boarding kwa mentality ya kuiga ujinga na kufuata mkumbo hakika atauiga kweli. Boarding haina shida shida ni wewe mzazi na huyo mwanao
hili nitalifanyia kazi
 
Kibiologia mtoto huchukua tabia za wazazi kwa 80%, hizo 20% hua zinatokana na dunia anayopitia na ubongo wake pia unavyoweza chuja taka na madini bora ya kumkuza,mfano kuna genetics za familia mtoto hata umfundise vp hawezi nahaelewi. Ilakuna vipanga regardless na mazingira ufaulu unakua palepale.
Kuhusu malezi kuna familia wanalea watoto hatakuku wakisasa huwatunzi hivyo. ..mtoto anadekezwa na anafanya chochote nahaulizwi/kukanywa...niwazavyo mm inategemea na mambo ya familia ilivyo ndipo uamue familia yako iweje
 
Tafuta mkwanja mkuu. Maneno yote hayo tushatambua huna hela ya kumsomesha Mtoto bodng
tatizo watu wanafikiri matumizi sahh ya pesa ni kupeleka mtoto kwenye shule za gharama tu
 
Kumpeleka mtoto boding shule za msingi ni mbinu ya wazazi kukwepa majukumu ya malezi kwa mtoto. Umri huu (miaka 0-14) mtoto anapaswa kuwa chini ya uangalizi wa wazazi na si mtu mwingine. Kwa level ya sekondari mtoto kukaa bweni si vibaya
 
Narudia kusema hivi "Ukimpeleka mtoto shule ya boarding kwa mentality ya kuiga ujinga na kufuata mkumbo hakika atauiga kweli. Boarding haina shida shida ni wewe mzazi na huyo mwanao"
unahitaji ukombozi wa fikra
 
Kumpeleka mtoto boding shule za msingi ni mbinu ya wazazi kukwepa majukumu ya malezi kwa mtoto. Umri huu (miaka 0-14) mtoto anapaswa kuwa chini ya uangalizi wa wazazi na si mtu mwingine. Kwa level ya sekondari mtoto kukaa bweni si vibaya
watu wanajifanya hawaelewi kipindi!

nyoyo ngumu kweli
 
Shule za boarding zimekuwepo kitambo sana. Kama babu zetu na wazazi wamesomea huko na hawakuwahi kuwa wasagaji wala mashoga iweje wewe mjukuu na kitukuu chao uwe msagaji au shoga kisa umepelekwa boarding?? Ukiona hivyo wewe na kizazi chako mtakuwa na shida sehemu
mbona umechachamaa?

mpaka hapo hujaona shida yako ilipo?
 
Cha kushangaza shule nyingi zinalazmisha watoto wawe boarding
Mtoto anatoka shule na matabia ya ovyo hajui hata kusalimia kiujmla wanatoka shule hawajui chochote kuhusu jamii
 
mtoto wa kike anamaliza form 4 hajuwi kupika hata mchicha
 
Najivunia kusomea boarding school tena boys tu nikiwa na miaka 14. Hakika nimemiss hekaheka za kutufunza na kutupa malezi yaliyojazia yale ya wazazi. Hakika Popote ulipo Mwalimu Laban Kansimba na timu yako ya Nyakato Sec ya bukoba kongole sana. Ukimpeleka mtoto shule ya boarding kwa mentality ya kuiga ujinga na kufuata mkumbo hakika atauiga kweli. Boarding haina shida shida ni wewe mzazi na huyo mwanao
Hahahah kijana wa nyakato mama kwa Kansimba (Nimepita pale high school),nilikua Ruhinda.....Sijawahi juta kusoma bweni
 
Kuliko kudungwa mimba na bodaboda ni bora akae boarding
 
Back
Top Bottom