Kwanza watoto wa boarding schools ni mazuzu! Hadi mtoto wa kiume unakuta ana aibu aibu kama wa kike!Nilimsikia akibishana na mkewe kuhusu mtoto wao kwenda boarding. Akamwambia, "sikuona faida yoyote niliyoipata wakati nasoma boarding zaidi ya kujifunza punyeto".
Our new kitNa wanaofanya masturbation na hawajasoma boarding wamefundishwa na nan
Mtoa uzi upo sahihi

Wengi Mambo ya kihuni wanajifunzia huko.Najivunia kusomea boarding school tena boys tu nikiwa na miaka 14. Hakika nimemiss hekaheka za kutufunza na kutupa malezi yaliyojazia yale ya wazazi. Hakika Popote ulipo Mwalimu Laban Kansimba na timu yako ya Nyakato Sec ya bukoba kongole sana. Ukimpeleka mtoto shule ya boarding kwa mentality ya kuiga ujinga na kufuata mkumbo hakika atauiga kweli. Boarding haina shida shida ni wewe mzazi na huyo mwanao
Mtoa uzi upo sahihi

Shule yyt ya bweni si salama kwa mtotoshule za bweni zilizo chini ya kanisa ni bora kuliko hizo zingine binafsi
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri unapokomea.Tafuta mkwanja mkuu. Maneno yote hayo tushatambua huna hela ya kumsomesha Mtoto bodng
Waje tuKabisa
Hakuna cha kanisa wala msikitishule za bweni zilizo chini ya kanisa ni bora kuliko hizo zingine binafsi
umeenda kujipanga? SawaSubiri kwanza narudi

Boarding school kwa watoto ni kiwanda kilichohalalishwa kuzalisha wasagaji, mashoga,

Mtoto anaweza kufaulu shule yoyote ukimjengea mazingira mazuri ya kufaulu anafauluShule za boarding ziko vizuri kiufaulu na kuwa na Walimu bora kuliko za day
shule za bweni zilizo chini ya kanisa ni bora kuliko hizo zingine binafsi