Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
Siko hapa kukupangia namna ya kuishi na familia yako, ila naomba nikushauri kitu;
Kumpeleka mwanao akaishi bweni kwanza ni ulimbukeni, kama mtoto ana akili, hata akisoma day atafaulu tu.
wapo wanaosoma wakiwa boarding awali mpaka form4.. na bado wanafeli!
Hasara kubwa anayoipata mtoto ni kukosa malezi ya wazazi. Mtu aliesoma katika mazingira hayo, hata ukubwani utamjua tu!
Sasahivi tuna vijana mpaka wazee wa hovyo sana lakini cha ajabu ni wasomi (walikosa malezi ya wazazi)
Tunawapa wanawake lawama za kila rangi kumbe sio wao bali "walikosa malezi bora ya wazazi": binti wa form 4 & std7 alielelewa na wazazi ni bora (anaweza kuwa mke bora) kuliko degree holder aliekulia boarding kipindi chote cha makuzi yake.
Kuna msemo huu:- "asiyefunzwa na wazazi dunia itamfunza"
Umekosa nini mpaka mwanao ukamkabidhi mikononi mwa walimwengu wamfunze?
Kaa karibu na mwanao kwa faida yake, huko mbele kuna hatari.
NB. Nazungumzia watoto under 18

sichaniki ng'o!