Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
Hajatuchafua kwani ni kweli ni wavhafu katika sera za uwekezaji.
Mf keenye viwand kodi ni vikwazo eg brela, tfda tbs , nemc, osha, town /ciy council uliyowekeza unalipa badao ardhi kodi kwa wenye viwanda ni kubwa
Bandalini kuna mawswala ya import charge kwa mitambo na mashine,
Usagiri wa reli mbovu ambao ni mkombozi kwa bulk transport.
Ni rahisi kuogelea frm zenj to dar kuliko kufanya biashara hapa twn
 
baada ya serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana dangote huko london kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja...
Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 africa

Reginald Mengi
bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
Mkuu Dangote kaingia lini nchini? Vipi hali yetu ilikuwaje kipindi hicho? Vipi hali ikoje katika nchi ambazo hajawekeza? Maisha hayaendi?

Kwahiyo hao wazawa hujaona mchango wao ukilinganisha Dangote?

Mbona watz ni cheap sana kutetea kila mtu ambaye anakuwa kinyume na Serikali? Akiona mazingira magumu aondoke tuliishi kabla yake.

Wazawa wameajiri watu wengi kuliko yeye
 
Acheni utoto, unatija kubwa sana kwasisi tunaojenga kwa kuungaunga, cement twiga ilikuwa mpaka elfu 15000 sasa hivi sh. ngapi kama unafuatilia. Dangote tunamuhitaji sana kuliko anavyotuhitaji. Kawekeza nchi 17 zamaana ijekuwa ninyi na ccm yenu...ndo maana anawachana live coz kwake hapa kama kituo cha daladala stend kuuu ipo mbele
Na kipindi cement bei iko juu kipindi hicho si ndo mnasema maisha yalikuwa mepesi kuliko sasa. Mnasema sasa hakuna kinachoenda wakati huo mnasema mnajenga kwahiyo ni porojo?
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!

Ndio zenu hizo! Mkiambiwa ukweli mnasema uchochezi,mnachafuliwa jifunzeni kukabiana na ukweli bila kutoa visingizio.
 
Una Akili Saana wewe, Tuongeze Vyerehani ndivyo vyenye tija na Uchumi wenu wa v wonder
Mkuu anayemiliki cherehani yake anaweza kuwa na tija kuliko aliyeajiriwa, ni akili yenu tu ya kuamini maisha hayaendi bila fulani
 
baada ya serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana dangote huko london kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja...
Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 africa

Reginald Mengi
bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
Mkuu hao wana Lymumba wenzangu, wengi wao hawatumii akili katika hili la Dangote.
Wanafikiri Tanzania inamfanyia Dangote fadhila while its the other way round.
Best scenario ni kupata a win win scenario.
Kuna mtu alisema ukiona unaambiwa nguo yako imetatuka, kwanza tazama imatatuka wapi ili uirekebishe.
Ndicho Dangote alichofanya, wengine wanaondoka wala hawaagi.
 
nchi yoyote ya ki africa kuwekeza dollar million 620 kiwanda kimoja ni wehu kabisa..hela nyingi sana hiyo,kuna fununu hata ma lorry yale mengine yalishapelekwa zambia
Mawazo ya kimaskini!...watu wanawekeza hadi dollar trillion
 
Kwani shida nn sisi tushazoea kuishi kama mashetani hatupangiwi
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
Dangote wakati anajenga kiwanda aliangali soko ,na construction industry ime collapse, unategemea aseme nini zaidi ya kukutaarifu kuwa Jiangalieni hiyo barabara mpitayo tunapotea na sisi sote ni abiria.
 
Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused![/QUOTE]Tangu lini mtu anaposema ukweli imekuwa 'kutuchafua"? Tangu lini mfanya biashara wa kiwango cha Dangote anapotoa maoni yake na uzoefu wake wa biashara na uwekezaji imekuwa 'kutuchafua'?!
 
nchi yoyote ya ki africa kuwekeza dollar million 620 kiwanda kimoja ni wehu kabisa..hela nyingi sana hiyo,kuna fununu hata ma lorry yale mengine yalishapelekwa zambia
Mkuu labada kama USD 620million kwenye kiwanda, ila investment nyingne kama migodi eg buzwagi hiyk hela ni ndogo sana, au mamakumpini yanayo tafti mafuta na gesi
Hata halotel tu wameinvest USD 1+ bn..
 
baada ya serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana dangote huko london kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja...
Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 africa

Reginald Mengi
bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
Hata hivyo hao wa bongo hata Puff Daddy na Jay Z ni matajiri kuliko hao kina Mengi, and Bakhresa.

Dangote ni tajiri mara tatu zaidi ya Trump!
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
Kuambiwa ukweli ndo kuchafuliwa? Wanatamani wamtumie wasiojulikana maana kusema ukweli ni shida, tumekosa uvumilivu, tumekosa mchuano wa hoja kwa hoja sasa ni hoja kwa risasi au kutekwa, maisha hayaendi hivyo, tukubali kusikiliza tunachoambiwa na tujenge hoja kukipinga na sio kwamba kila anayekuchallenge kwa hoja ni mbaya wako, no, wakati mwingine anataka ujirekebishe ili mambo yaende vizuri
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
Mlikuwa wasafi hata mlalamike kuchafuliwa?
 
Baada ya Serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana Dangote huko London kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu Africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja.

Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha Mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald Mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 Africa

Reginald Mengi
Bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

Kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
Kwa hiyo unataka kusema Mengi au bakharessa hawawezi kukopa au?

Kwamba Dangote alitoa hela zake mfukoni kuwekeza??
 
Mkuu Dangote kaingia lini nchini? Vipi hali yetu ilikuwaje kipindi hicho? Vipi hali ikoje katika nchi ambazo hajawekeza? Maisha hayaendi?

Kwahiyo hao wazawa hujaona mchango wao ukilinganisha Dangote?

Mbona watz ni cheap sana kutetea kila mtu ambaye anakuwa kinyume na Serikali? Akiona mazingira magumu aondoke tuliishi kabla yake.

Wazawa wameajiri watu wengi kuliko yeye
Huu ndio ukweli mchungu....Tukiwezesha wajasiliamali wetu tutasonga vizuri tu.

SIDO iwezeshwe ili isimame vizuri.
 
Back
Top Bottom