Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

SO SAD - HUYU HUYU DANGOTE ALISAIDIWA NA PRESIDAA AKAPEWA PLOT BURE,GESI ANUNUE MOJA KWA MOJA ISIPITIE KWA MIDDLEMAN KWA SERIKALI ILIYOPITA WALITAKA ANUNUE KUPITIA MIDDLEMAN DAAAA IF I KUD PRESIDAAA KWANI AME CREATE AJIRA NGAPI ????

_98277759_e1f098e9-43e0-4e1f-9532-6581702bc4b7.jpg
 
Baada ya Serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana Dangote huko London kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu Africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja.

Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha Mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald Mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 Africa

Reginald Mengi
Bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

Kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
Na forbes wanapofanya tathimini ya utajiri wa individuals zaidi wanafanya valuation ya assets walizo nazo siyo cash. Some of the asset kama land, machinery, real estates ukipeleka kwenye benki leo huwezi kupata hizo hela
 
Huyu Dangote aliingia kuwekeza nchini kupitia Lumumba, akabebwa na mbeleko ya upendeleo mkubwa... Akakiuka taratibu nyingi za uwekezaji.... Likafunikwa kombe.....
Lilipokuja swala la kusitishwa uzalishaji wa cement yake akakimbilia tena Lumumba mpaka ikulu... Alifanya kosa kubwa sana.. Alitakiwa afuate taratibu zote za kisheria za uwekezaji kutatua tatizo lake..... Ila kama kawaida yake akatumia short cut... Hivi kila mwekezaji akifanya hivi tutafika kweli?
Natabiri huyu jamaa kufunga virago
Umeandika jambo la msingi mno na ndio ukweli wenyewe kwa nini Dangote anaweweseka kwa sasa. Cha kusikitisha ni kwamba Wanarakati na Vibaraka wa mabepari (akiwemo mleta mada) hawajui undani wa taarifa za Uwekezaji wa Dangote hapa nchini.
Huyo jamaa alibebwa kupita kiasi. Na tatizo la mtu aliyezoea kubebwa siku ambayo akiambiwa atembee inakuwa kero na usumbufu mkubwa kwake.

Kiwanda chake kimejaa Wahindi na Wachina, inasikitisha zaidi unakutana na Wahindi hawajui hata Kiswahili akifanya kazi ya Storekeeping n.k. Ilhali kuna Watanzania wengi wana sifa zaidi ya hizo wanaajiriwa kwenye nafasi za ajabu ajabu na kulipwa mishahara ya kipuuzi kabisa.
Naunga mkono hoja ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani (Bakhresa, IPP, Superdoll etc) ili Watanzania wanufaike kwa kupata ajira. Hawa wahuni wanaokuja kuiba rasilimali zetu watafute sehemu nyingine ya kuwekeza.
 
Majuha KALULU Utayatambuwa kirahisi Saaana, What's happened behind of this Contradiction!! Huyu Aliko na Kampuni zake wapo kwenye 17 Countrys Kwanini kote hakuna misuguano isipokuwa hapa kwa Juma Pondamali Mensah? Kuna nini Hasa? Bakhressa alifanya investment kubwa saana maeneo ya Majagaa Bujumbura , Burundi Bonge la Kiwanda kama kile cha Mzizima Tatizo likajaa kujitokeza kwenye Umeme (Akitaka Avute kutoka Umeme Gatumba Borders, DRC)Bado Tatizo likawepo kumbe Nkurunzinza hakuvutiwa chake Mbona baada ya kupewa sasa hivi kimya na huyu nae anataka avutiwe tu hakuna chochote hapo Mbona Makinikia Sasa hivi kimya?Acacia wanapiga Kazi Nyamongo,Buzwagi hata Bulya?Hili Gari la CHUMA Matairi CHUMA
 
huo utajiri wake km hauna tija kwa Taifa Aende zake huko asitujazie mafaili hapa!
thubutu, mbona bakhr alivyotaka kutoa pesa zake kwenye bank za tz zote na kuhamisiha biashara kwenda msumbiji, mbona mlimuangukia na kumpa eneo ambalo mumepokonya mtu na sasa tunadaiwa tulipe
 
Umeandika jambo la msingi mno na ndio ukweli wenyewe kwa nini Dangote anaweweseka kwa sasa. Cha kusikitisha ni kwamba Wanarakati na Vibaraka wa mabepari (akiwemo mleta mada) hawajui undani wa taarifa za Uwekezaji wa Dangote hapa nchini.
Huyo jamaa alibebwa kupita kiasi. Na tatizo la mtu aliyezoea kubebwa siku ambayo akiambiwa atembee inakuwa kero na usumbufu mkubwa kwake.

Kiwanda chake kimejaa Wahindi na Wachina, inasikitisha zaidi unakutana na Wahindi hawajui hata Kiswahili akifanya kazi ya Storekeeping n.k. Ilhali kuna Watanzania wengi wana sifa zaidi ya hizo wanaajiriwa kwenye nafasi za ajabu ajabu na kulipwa mishahara ya kipuuzi kabisa.
Naunga mkono hoja ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani (Bakhresa, IPP, Superdoll etc) ili Watanzania wanufaike kwa kupata ajira. Hawa wahuni wanaokuja kuiba rasilimali zetu watafute sehemu nyingine ya kuwekeza.
Acha ujinga, na huko duniani kwingine ulimbeba wewe?
Tukazane wazawa wafanye uwekezaji badala ya kutegemea cha mjomba.
 
Wewe mwerevu unajua mazingira aliyoandaliwa huko "Duniani kwingine"!?
Yaainishe hapa ili tujadili kwa hoja na sio kama wanywa Viroba.
 
Sasahivi nchi imegudua mlipa kodi mzuri asiye na usumbufu ambaye ni faini za barabarani.
Wamekuwa syo wana usalama tena wa barabara wamukuwa wakusanya mapato naooo

Ova
 
Wewe mwerevu unajua mazingira aliyoandaliwa huko "Duniani kwingine"!?
Yaainishe hapa ili tujadili kwa hoja na sio kama wanywa Viroba.
Suala halihitaji werevu, ni kujua namna ya kuvutia wawekezaji na sisi tupate stahili yetu.
Kama nilivosema huko nyuma fuatilia malalamiko ili ujue namna ya kurekebisha mifumo.
Ama sivyo fanya hivi shughuli wewe mwenyewe.
 
Nafikiri unaelewa ya kwamba kuna tofauti kubwa kati ya WAWEKEZAJI na wahujumu Uchumi na rasilimali za nchi wanaojificha katika mwamvuli wa uwekezaji.
Je unatambua mazingira aliyoandaliwa Dangote na kupewa kipaumbele cha hali ya juu wakati anakuja kuwekeza hapa Tanzania!?
Unajua aliingia mkataba wa aina baina yake na serikali!? Unatambua asilimia ya Watanzania waliojariwa Dangote Cement!?
 
hakuchafua ila ule mkutano ni kijiwe cha wadau kupeana abc za ku invest africa na wale ni marafiki zake sasa akiwa kama mdau aliye invest katika nchi 17 africa asiongee ukweli?hiyo sheria aliyoisemea ya 16 percent ni ya kwenye madini na imepita july this year ukweli ni kwamba investors wanaiogopa tz na wengine wanakimbia hata Mohamed dewji kawekeza hela nyingi mauritius na malawi ni kama vile hawaelewi elewi kinachoendela hapa na huu utamaduni mpya wa kutopenda kukosolewa hautufikishi popoteeeee
Mkuu, naona unaendelea kuwapasua za uso, wachape za uso Mkuu.
 
Acheni utoto, unatija kubwa sana kwasisi tunaojenga kwa kuungaunga, cement twiga ilikuwa mpaka elfu 15000 sasa hivi sh. ngapi kama unafuatilia. Dangote tunamuhitaji sana kuliko anavyotuhitaji. Kawekeza nchi 17 zamaana ijekuwa ninyi na ccm yenu...ndo maana anawachana live coz kwake hapa kama kituo cha daladala stend kuuu ipo mbele
Chukua LIKE yako mkuu
 
Hata hivyo hao wa bongo bongo hata Puff Daddy na Jay Z ni matajiri kuliko hao kina Mengi, and Bakhresa.

Dangote ni tajiri mara tatu zaidi ya Trump!
Ha ha ha ha ha ha ha ngoja mimi nabaki kucheka tu.
 
Majuha KALULU Utayatambuwa kirahisi Saaana, What's happened behind of this Contradiction!! Huyu Aliko na Kampuni zake wapo kwenye 17 Countrys Kwanini kote hakuna misuguano isipokuwa hapa kwa Juma Pondamali Mensah? Kuna nini Hasa? Bakhressa alifanya investment kubwa saana maeneo ya Majagaa Bujumbura , Burundi Bonge la Kiwanda kama kile cha Mzizima Tatizo likajaa kujitokeza kwenye Umeme (Akitaka Avute kutoka Umeme Gatumba Borders, DRC)Bado Tatizo likawepo kumbe Nkurunzinza hakuvutiwa chake Mbona baada ya kupewa sasa hivi kimya na huyu nae anataka avutiwe tu hakuna chochote hapo Mbona Makinikia Sasa hivi kimya?Acacia wanapiga Kazi Nyamongo,Buzwagi hata Bulya?Hili Gari la CHUMA Matairi CHUMA
Chukua Like Boss
 
Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini ameenda kutuchafua huko Ughaibuni?!! Am really confused!
Sasa kama waliyoongea hayakutendeka unategemea nini?
Huyu mkulu ni muongo sana na haaminiki, anageuka geuka tu kwa kila analosema...
Refer nyongeza ya mishahara aliyosema angeongeza now ameongeza, zaidi ya kuja na porojo tu kila kukicha...
Nyie malumba bhana na uzwazwa wenu mtaendelea kushikishwa adabu!
 
Back
Top Bottom