Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

Hivi alipokuwa huko London ndio akamuita Mukulu "THE BULLDOZER"...!?

Huyu Alhaj Dangote anafaa kupimwa Mkojo wake...!

Sio kwa Majina hayo...
 
Acheni utoto, unatija kubwa sana kwasisi tunaojenga kwa kuungaunga, cement twiga ilikuwa mpaka elfu 15000 sasa hivi sh. ngapi kama unafuatilia. Dangote tunamuhitaji sana kuliko anavyotuhitaji. Kawekeza nchi 17 zamaana ijekuwa ninyi na ccm yenu...ndo maana anawachana live coz kwake hapa kama kituo cha daladala stend kuuu ipo mbele
Kwel huyu tajiri kasababisha bei ya saruji ya Twiga kushuka chini,sasa hivi ni sawa na zingine
 
Nafikiri unaelewa ya kwamba kuna tofauti kubwa kati ya WAWEKEZAJI na wahujumu Uchumi na rasilimali za nchi wanaojificha katika mwamvuli wa uwekezaji.
Je unatambua mazingira aliyoandaliwa Dangote na kupewa kipaumbele cha hali ya juu wakati anakuja kuwekeza hapa Tanzania!?
Unajua aliingia mkataba wa aina baina yake na serikali!? Unatambua asilimia ya Watanzania waliojariwa Dangote Cement!?
Mkuu bla bla hazisaidii sana sasa hivi , watu wawalete wawekezaji ili watu waajiriwe, kodi zilipwe na maendeleo yaonekane.
Na ndicho mh Magufuli anafanya, kufukuzia vivuli kila mtu anaweza.
 
Baada ya Serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana Dangote huko London kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu Africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa kutosha,nataka niwaambie kitu kimoja.

Investement ya kiwanda kimoja tu cha Dangote cement cha Mtwara ni sawa na utajiri wooooote wa Reginald Mengi,kiwanda kile kime cost 620 usd millions na utajiri wa Mengi mwaka 2014 according to forbes was 560 usd millions wakati huo akishika nafasi ya 45 Africa

Reginald Mengi
Bakhressa yeye ni 600 usd millions
Currently, his net worth is $600 million according to Forbes 50 Richest (Africa).
Said Salim Bakhresa - Wikipedia
Said Salim Bakhresa - Wikipedia

Kuweni na heshima wana lumumba acheni dharau za kijinga
Utajiri wa Dangote ameuchuma kwa kuhonga wanasiasa katika nchi mbalimbali anakomiliki vitega uchumi kuanzia kwao Nigeria na Target yake kubwa hua ni Mawaziri ...kwa kifupi anaamini katika kutumia Rushwa ili kukwepa kodi na kupata kandarasi kubwa hivyo si msafi file lake ni chafu
 
Mkuu bla bla hazisaidii sana sasa hivi , watu wawalete wawekezaji ili watu waajiriwe, kodi zilipwe na maendeleo yaonekane.
Na ndicho mh Magufuli anafanya, kufukuzia vivuli kila mtu anaweza.
Inawezekana tuna mtazamo unaofanana lakini nashangaa sijui kwa nini tunalumbana kama Mzee Namakula na Bishagazi katika kipindi cha Malumbano ya Hoja ITV.
 
Back
Top Bottom