Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 699
- 1,366
- Thread starter
- #41
Ni kweli mzee haukuacha vitu vingi sana ni just mashamba na nyumbaMkuu kama kuna kiwanja tu, hapo mna eza kubaliana kwa maandishi kuwa mmiliki ni Huyu na huyu.
Maana Kuna mirathi ya kisheria na Ile ya zamani..
Kama Kuna pension, nyumba, mna fata utaratibu tu
Tunahitaji kutambulika kisheria kwakuwa tunataka kuwa na mfuko(bank) ya familia kwa ajili ya kuhifadhi rasilimali pesa za familia sasa kule hawatoi account mpaka msajiliwe na kusajiliwa ni mpaka muwe na msimamizi wa mirathi
NB: hatutaki kuuza wala kugawana tunataka kutambulika kisheria ili tuweze na kukopa fedha bank n.k