A
Anonymous
Guest
Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto.
Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie msingi full, Na walimu msingi wasimamie secondary full, isipokuwa wasimamizi wakuu secondary wawe ni secondari).
Mimi Sio mhusika Ila wahusika wanalalamika na wameomba tulete hii Kero iwafikie wahusika.
Kwimba halmashauri pekee ambayo iliwahi kukosa division zero kwenye matokeo ya kidato cha nne. Ni Sifa nzuri Ila inabidi utaratibu ufuatwe.
Hii taarifa ifanyiwe kazi immediately.