Kweli kabisa Kaka ndoa ina majukumu mengi sana. Tena yanayoongezeka siku hadi siku. Ukishakua financial stable(simaanishi uwe tajiri sana) ie. Una uwezo kutimiza majukumu kama mume na baba wa familia ndio unaweza kuoa.
Mwanamke atakuvumilia lakn inategemeana na mtu na mtu. Mwingine ukimwambia nimefukuzwa kazi siku hiyohiyo mnalala mzungu wa nne[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
So, kwenye kuoa tuliza akili bro. Na oa level zako, mwanamke mtakaefanya maisha sio sura na muonekano aisee. Sisemi wenye mionekano na sura wasiolewe lakn kama mwanaume hivyo visiwe vipaumbele vyako unapomtafuta mwanamke wa kuoa. Be kin!!