Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,239
- 4,738
Mwalimu kahamishwa kituo anafufuka na habari za Mavuno ya mpunga.
Bado kufuga kuku tu mwka huu.
Bado kufuga kuku tu mwka huu.
Njoo unipikie ugali dagaa basiiiNachagua Pesa
Ngona midume yenye ID za kike imiminike kuja kula nawe checheleHatimaye nimevuna magunia 15 ya mpunga; kwa sasa natafuta mke wa kuoa aje tusaidiane kula mavuno yangu.
Kama wewe ni mrembo, na una uwezo wa kumshawishi equation x ili akuruhusu uje ule mavuno yake aliolima kwa shida, pita hapa mbele ukiwa unanesanesa.
Usikubali kuzeekea nyumbani, njoo kwa eqution x msaidizane kula mavuno yake.