Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,679
- 83,483
Say no more..
tema cheche hizo mzee!Ndio maana nakupenda, ndio vitu vyagu hivi
tema cheche hizo mzee!Ndio maana nakupenda, ndio vitu vyagu hivi
Hee kumbe hujamsoma huyu mzee wewe🤭We Seran kichwa maji kweli wewe. 😁
Sasa mauno hayo yanahusiana vipi na mada?
Sema neno nije nikuvishe pete huko ulikoSay no more..
tema cheche hizo mzee!
Ohh yeahhh!!💃🏽Sema neno nije nikuvishe pete huko uliko
AlaaaahSay no more bebe.View attachment 3599475
Kijana unacheka wazee!"Usikubali kuzeekea nyumbani karibu ule mpunga "
View attachment 3599501
Chakula ili kinoge vizuri, ni vizuri kula na wenzakoPambania mafanikio usitafute mahali pa kukufilisi.
Hmm nimeghairi!😒"Usikubali kuzeekea nyumbani karibu ule mpunga "
View attachment 3599501
Mzee anataka tumsaidie kula mpunga😬Alaaaah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii jinsia na pesa, nataka nijue shetani aliwaambia nini nje na kula tunda kwenye bustani ya edenSay no more bebe.🤑🤑.View attachment 3599475
Bora😊Hmm nimeghairi!😒
Alitwambia pesa ndio kila kitu, tuisake kwa namna yoyote ile🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii jinsia na pesa, nataka nijue shetani aliwaambia nini nje na kula tunda kwenye bustani ya eden
We mwanaume ana tako lote hilo!🫢Bora😊
Mwamba anaona kayapatiaGunia 15 tu?
Tena za mpunga😀
Aanh huyu hamna!Mnasaidiana kupika ubwabwa
View attachment 3599520
Hee kumbe hujamsoma huyu mzee wewe🤭
Msome tu!Sijamsoma! 😊