MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Naamini kuna wanaume washapigwa sana pesa na wapo ambao wanaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja wa kina dada wa mujini.View attachment 1002476
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tumekuelewa ila umekulaHahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.
Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia tatu namwambia hiyo pesa ya saloon knyoe hizo nywere gharama.
Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.
Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
yani haya Mimi nimeshangaa sana duuh,Unatoa wapi nishati ya kuchati na mtu anaandika kama anahara?
Kweli mkuu nina demu wangu mkali ila kweny coconut yake zero sms mpaka nimwambie dia tenganisha maneno na space bar hapo chini sio kwa full stop na anavyopenda kufupisha maneno duh hatari huwa navumilia some times huwa na mpigia tuonge tu sio sms..[emoji23][emoji23][emoji23]alafu unakuta pisi kali kichizi inaandika utumbo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unajiweza eti[emoji849]