Usiku wa kisamvu cha kopo

Usiku wa kisamvu cha kopo

Watajaa mashangingi na mashoga kibao wakiongozwa na kungwi wao Aggrey,
Nendeni urusi kuna fursa
IMG-20211222-WA0014.jpeg
 
Huko Dar kwenu kuna maeneo kama Tabata, Tandale, Kigogo, Kawe, Manzese, Kinondoni, Mbagala, Sinza, Temeke, Gomzi, Vingunguti na M/Nyamala sio rafiki na salama kwa malezi na kulea watoto.
Inategemea na mtu
 
Huko Dar kwenu kuna maeneo kama Tabata, Tandale, Kigogo, Kawe, Manzese, Kinondoni, Mbagala, Sinza, Temeke, Gomzi, Vingunguti na M/Nyamala sio rafiki na salama kwa malezi na kulea watoto.
Sawa wa kishua, maeneo yenu ya oysterbay,masaki, upanga na mbezi beach ndio salama kwa malezi.
 
Back
Top Bottom