Usiku wa kisamvu cha kopo

Sawa wa kishua, maeneo yenu ya oysterbay,masaki, upanga na mbezi beach ndio salama kwa malezi.
Mkuu maeneo niliyotaja hapo juu ni mwendo wa nyumba bar nyumba danguro nyumba muuza ngada yaani unakuta mtaa hauna utulivu 24hrs ni makelele ya walevi na music.
Pia asilimia kubwa ya jamii ya watu wanaoishi maeneo hayo hawana staha ya kauli wamejawa na kauli za matusi.
 
Inategemea na mtu
Ni kweli ila kumbuka mazingira na jamii ya watu unayoishi vina mchango mkubwa sana katika malezi ya watoto.
Maeneo niliyotaja hapo juu mzazi hata uwe Mchungaji au Ustadhi na ujitahidi kwa malezi bora haki ya mama vile katika watoto watatu unaweza kubahatika kumshape mmoja.
 
Mkuu maeneo niliyotaja hapo juu ni mwendo wa nyumba bar nyumba danguro nyumba muuza ngada yaani unakuta mtaa hauna utulivu 24hrs ni makelele ya walevi na music.
Pia asilimia kubwa ya jamii ya watu wanaoishi maeneo hayo hawana staha ya kauli wamejawa na kauli za matusi.
Hayo ni maeneo mabaya kuishi kwa mustakbali wa watoto wetu aisee
 
Kuna hyo moja mitaa ya tabata mademu walikodi nyumba wapo uchi unaingia kwa kiingilio yeyote utakae muona humo ndani halali yako sijui nani aliwatosa polisi maana walivamia nyumba na kugonga geti kwa nguvu

Ninachokumbuka ni mimi na mzee omari mzee fulani tunamuheshimu sana sijui alitokea wapi tulijikuta akatenguka mguu nilipomsaidia mpka mtaani kwake kufika

Mkewe anauliza kulikoni akawahi Fasta Fasta kujibu nimepigiwa na vibaka huyu kijana kanisaidia

Huyo nikasepa zangu Manzese
 
Kweli wewe ni kunguru wa manzese.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom