McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
- Thread starter
- #21
Jerrymsigwa tena akienda kupiga kura anachagua MaCCM!!
Jamani watu waelimishwe wajue haki zao, miaka 50 ya uhuru watu wanachota maji kwa shida hivyo??
Nahisi mpaka tupate nabii kutoka TZ ndio tutamuelewa kua hawa kijani na njano wameshindwa kwa miaka 50 inatia hasira ila tunacheka ili tusife haraka kwa msongo wa mawazo.
Last edited by a moderator:

