Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Shukrani Khantwe nawe pia.
Shukrani Khantwe nawe pia.
Asante dadangu mzuri

.
asante sana dada,, 
na kwako pia..
Wewe naye I'd yako inatuchanganya SanaAhsante sana my dear Khantwe, usiku mwema kwako pia mumie!!
ID yangu usiikosee sana sipati notification ujue, Nitaliaa!
Usali..!!

Hahahaha.!!Wewe naye I'd yako inatuchanganya Sana![]()
😂 😂Eeh nashukuru umeelewa kuwa nimekosea, wewe nae kutaka kutuchanganya tu sasa huto tuherufi tuwili uliweka twa nini![]()
![]()
![]()
Mumie hata si kupenda kwangu, nimejikuta tu tayari ishatokea, nachanganywa sana maskiini mimi!
Hapo sijui umenisema ama umegomba??

we unaona nimekusifia au nimekugombeza?Inabidi ufanye utaratibu wa kubadili username.Hahahaha.!!
Nimejiunga nikaja jikuta kuna sweetlee mwingine nikaishiwa pozi,
Ila yangu ina herufi kubwa halafu pia avatars zinatofautiana!!
Poleni jamani lovers.!!
..Hadi naogopa kukutag siku hizi.😂 😂 😂we unaona nimekusifia au nimekugombeza?
Haha..!! hadi wewe unanitengaa mdogo wangu??Inabidi ufanye utaratibu wa kubadili username.
Mimi mwenyewe Ni victim wa hili..Hadi naogopa kukutag siku hizi.
Mimi nalikosea Mara nyingi.Haha..!! hadi wewe unanitengaa mdogo wangu??
Nilitaka kufanya hili ila Kaka SHIMBA YA BUYENZE akanishauri nisifanye hivyo, maana hili jina lina baraka flani.!!
![]()
![]()
![]()
Hivii una nini lakini.!?

Eeh nashukuru umeelewa kuwa nimekosea, wewe nae kutaka kutuchanganya tu sasa huto tuherufi tuwili uliweka twa nini![]()







Usiku mwema Anne
Akhsante.Usiku mwema Anne
Amen.. ngoja tusafishe macho na muvi kwanzaAkhsante.
Uwe mwema kwako pia.