Mtumbwi uliozama
Member
- Jan 5, 2014
- 27
- 4
Tunawatakia usiku mwema mimi na familia yangu
Asante sana, nakutakia usiku wenye baraka wewe na familia yako na kesho mwamke salama tayari kwa ibada takatifu.Barikiwa sana
Mungu ni Mwema.
Hatutaki! Sisi tunakesha.
Nawe usiku mwema. Leo sina usingizi niko kwa JF.
Tunawatakia usiku mwema mimi na familia yangu
'Zogwale is offline' Inasomeka hivyo kwenye browser ninayotumia. Uliupata usingizi au uli'log out ukawa una'browse as a guest?