kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku?
Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
Hapo kama upo chama la kulala bila nguo ukiwekwa dogi lazima utapikeKama mimi nimekula ugali, maharage, dagaa, nyanyachungu na bamia, tembele mixer mchicha, Mlenda, wali kidogo, parachichi. Hapa nataka ninywe uji na ndizi za kupika then nitamalizia chai na ndizi mbivu mixer machungwa nilale.
Basi ngoja nipunguze ndizi na machungwa nitaamka nayo asubuhi.😁😁😁Hapo kama upo chama la kulala bila nguo ukiwekwa dogi lazima utapike
Hivyo si vyakula siku tatu🤣🤣Kama mimi nimekula ugali, maharage, dagaa, nyanyachungu na bamia, tembele mixer mchicha, Mlenda, wali kidogo, parachichi. Hapa nataka ninywe uji na ndizi za kupika then nitamalizia chai na ndizi mbivu mixer machungwa nilale.
Ni kweli kabisa mkuuInategemea..
1. Wengine wanakula wanachokipata
2. Wengine wanakula wanachokitaka
Mchezo mbaya huoMsosi wa usikuView attachment 3482926
That's good, cha jana kilikuwa kipi,?Nakula nachokipata
Naogopa kunenepa nilikuwa nakula chips usiku now nimeachaUsijinyime kula mkuu.
Daah aisee sijui doctor wako ni nani mkuu?Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku?
Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
View attachment 3482924
Ni kweliBora nisile asubuhi na mchana wote ila usiku nile. Kulala bila kushiba sio utaratibu wangu kabisa. Mchana nakuwa kama mwislamu na mfungo
Unenepe ,usinenepe mwisho wa siku lazima UDEDI ,ufanye mazoezi usifanye lazima UDEDI,kama umeandikiwa utadedi siku FLANI hauwezi kuibadilisha ,live your life to the fullest.Naogopa kunenepa nilikuwa nakula chips usiku now nimeacha
Asante mkuuUnenepe ,usinenepe mwisho wa siku lazima UDEDI ,ufanye mazoezi usifanye lazima UDEDI,kama umeandikiwa utadedi siku FLANI hauwezi kuibadilisha ,live your life to the fullest.