shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Halafu iwe inavuja
au jirani anaduu afu unasikia kila kitu hulali nakwambia
Halafu iwe inavuja
au jirani anaduu afu unasikia kila kitu hulali nakwambia
we acha tu chozi lazma likutokeHahahahaaaa halafu uwe na HAMU ya kufa mtu
aibuuuuhahahaaaa afu demu awe na makelele na kitanda kama cha mzee lomolomo wa watt wa mama ntilie..
some time kuna majukumu muimu zaidi yanaitaji hela kuliko simuHakikisha unakuwa na bundle ya mwezi na power bank always
Au kwa mganga wa kienyeji