Kuna mwaka nlikuwa naenda mwanza kwa basi halafu likaharibika porini yalinikuta ya kukosa vocha...dah.
Uko pekeyako kitandani
Huna usingizi
Huna wa kuchat naye
Simu haina bundle na maduka yamefungwa na kwenye mtandao huna salio na unatamani kuingia JF na simu imezima chaji na umeme umekatika..
Usiku huwa mrefu saaaaana....!!!
HahaaA simu imeisha chaji inanihusu sana
Hili la kuisha chaji lina utata sana.........
Hahaaaaa
Umejuaje, yaani unafanya kuhesabu bati juu na kujua makosa yote aliyofanya fundi wakati wa ujenzi.Mara hii kona imepinda, haikustahili kuwa hivi.