Usiku huwa kuna ninii

Usiku huwa kuna ninii

toa advice hapa! unamuona bigmind anavyowachokoa watu! nimcheka had kichwa kinauma! ... hv km men nae anaota jig jig nae ni jini mahaba la kiume au
Katika mambo niko mtupu ni haya, hata sijui cha kushauri. Naamini uchawi, ushirikina upo lakini katu sitaki kuupa airtime. Mbiti huogopi kuongea uchawi usiku huu? Au kwa vile Mr yupo atakukumbatia ukianza maruweruwe
 
Katika mambo niko mtupu ni haya, hata sijui cha kushauri. Naamini uchawi, ushirikina upo lakini katu sitaki kuupa airtime. Mbiti huogopi kuongea uchawi usiku huu? Au kwa vile Mr yupo atakukumbatia ukianza maruweruwe


hahahahha wewe nawe nilijua wale wale kina mbiti!hahaha eti huupi airtime hahaha hayajakukuta!..nimeogopa alipokiri ana

maruhan! naogiopa mtu mwenye mashetan kwakwli! vile anavyoongea ongea uwiii! snaga woga wa kufubaa namna hyo!

hahahaha eti Mr anikumbatie! yeye nae ana sleeping walking huwa nanuna alafu nacheka sana sana ! unamkuata kakunja

ngumi kaelekeza dirishan ukiuliza anakuambia kuna mtu anataka kumuiba mtoto! hahahahaha huwa nachka sana jaman watu wa kuota ndoto za aina hii!
mie toka kuzaliwa huwa naamini nina nguvu zaid kuliko mtu yyt yule! na it works kbs! woote watasumbuka mi aku
 
Hivi unajua kunawanawake hawana hisia kabisa za mapenzi??
Sure wapo,
Kuna ndugu yangu alikuwa na hilo tatizo,na usiku anapolala anahisi kuna mwanaume anamuingilia kabisaaaa PHYSICALLY,


May Allah bless Me and You
 
hahahaha jini mahaba ni special kwa utamu! hahaahha!kwan anayelimisha anajulikana kama nani?? naona una ufaham sana juu ya hili! au ndo nyamkera hahahahahaha
Jini MAHABA
Ataanzaje kukulimisha?YEYE NI SPECIALIST WA MAHABA.
Hao wanaolimisha ni WANGA TU

May Allah bless Me and You
 
Muislam,,lakin huwa ikinitokea vile ntasoma sura zote wapii ntasoma quran wapiiii hakuna kitu ,,huyo luck dube kaniambia ukweli huwa natoka nje ya mwili
Ayatul Qursiyu,na vizur kuisoma kabla ya KULALA

May Allah bless Me and You
 
Sure wapo,
Kuna ndugu yangu alikuwa na hilo tatizo,na usiku anapolala anahisi kuna mwanaume anamuingilia kabisaaaa PHYSICALLY,


May Allah bless Me and You
Ni kweli mkuu,haya mambo yako, watu wanashindwa tu kuelewa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama una muda mrefu hujafanya tendo fanya mpango ukafanye
Pia...kuna miti ya miashok jiran na unapoishi ama hapo unapoishi?
Je kuna shule karibu ama nyumba za ibada? Ama soko?
Je unaishi karibu na barabara ya lami?
Hizo ni roho za kishenzi shenzi.......Nakumbuka iliwahi nitokea hali inayofanana na hii nilipotembelea kijiji kimoja miaka ya nyuma.....nilihisi kitu kinanikaba huku nakabwa kweli na ninaskia mi pumzi ya moto na nilipojaribu kusoma quran lile lilinikaba likawa linasoma kwa uwezo mkubwa na kwa speed kuliko mimi, ikabidi nibadili style ya kumuomba mungu, nikawa nasoma aya simalizi naruka..mungu alinisaidia nikapambana hadi nikaweza kuamka nikatoka nduki.sikulala tena, kesho yake asubuhi nilipojikagua nikakuta nina alama za kucha katika mbegu na damu.....nilichogundua baadae ilibidi niikague ile nyumba vizuri bila mwenyeji wangu kujua....nilikuja kuona kuna chupa zimefukiwa katika kile kiwanja kila pembe moja kwa moja nikafahamu hapo kuna mtu anayafuga majini, au aliyafuga yakamshinda kuyahudumia sasa yanatoka na kujitafutia yenyewe....angali mambo haya kisha jiongeze

Je mna biashara kubwa na inatoka sanaaa
Je nyumba mnayoishi mlijenga wenyewe ama mlinunua, nyumba za kununua mara nyingi mazindiko yake huwezi jua mtu amefukia masenge gani.......pamoja na haya machache mimi sina cha kukushauri
 
Naogopa nisije kuwa nakosa usingizi mpaka ninywe dawa za usingizi

ok pia kuna njia nyingine nadhani itakusaidia
jaribu kuchelewa kulala pia usilale peke yako, tafuta mtu muwe mna lala pamoja.

solutios zingine zitafuata baada ya hizo kufeli
 
Utakuwa una woga mwingi,unataka mambo mengi kwa mkupuo yakutokee kweny maisha.. Anxious attack,... Unawaza sana kuhusu maisha inakupa restlessness ukiwa umelala,... Jaribu kurelax vitu vitakua sawa
 
Tatizo mnaomba halafu mnaogopa wakati mkienda kwa waganga mnajiamini kama nini...uoga uoga uoga achs uoga ukiomba hata kitu chochote kikija ndotoni kuwa jasiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu za n.yege hizo, kama huna mwanaume muda harara za kukosa muhogo wa jang'ombe zinapanda kichwani unaona maruerue.. Nenda upigwe mashine, uje utoe ushuhuda huku, utapona 100%.. Najua utadhania utani, Good sex ni tiba ya mawazo na maruerue hayo
 
Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa hivi,,nikafumba macho tena ili nisinzie ile nataka kupitiwa tu nikaona kama nimepitiwa na giza usoni paa nikaamka tena nikaapuuzia nikalala ile hali ikajirudia ya kitu kama giza kinapita ,halaf kukawa na nguvu fulan sijui ilikua inatoka wapi inanilazimisha nipate usingizi mzito kweli wakati mi nikitaka kuamka lakin kuamka nashindwa ,,hiyo hali inanitokea huku naongea kimoyo moyo

. ,,nikaanza kusali wapi hakuna kitu,,mwili unaishiwa nguvu nakua najitahidi kuchezesha mguu ili nipate nguvu niamke lakin wapii,,,halaf nikawa siutaki ule usingizi kwani nakua naona napelekwa sehemu siijuii halaf inatisha
wakati nazidiwa kupata usingizi wa lazima nikasikia kitu kinanipuliza sikioni huku nikipata maumivu makali hapo hapo nikaamka tena nikakaa ,,nikajirudia zangu chumbani nikaona niende chumba cha ndugu yangu nilale nae maana mwanzoni nililala chumba kingine

Nimelala na huyu ndugu ,huwezi amini nikifumba macho nakua naona kama naonyeshwa kwenye tv,naona pote hadi nje kule ,kule sebuleni napaona halaf mwili ukawa unatetemeka napata maumivu ambayo sio makali sana nikaendelea kusali lakin hakuna kitu,,yaan sikulala jamani nikalzimishwa ule usingizi nikawa naona watu wawili wana giza kubwa wananirukia kwenye mwili wangu wanarudia kile kitendo ,,kumbe vile nahangaika nilikua nimvuta yule ndugu yangu anisaidie baadae nikashtuka nikaona nikae macho tu sasa,,asubuhi ilipofika yule ndugi yangu akaniambia leo ulikua unaning'ang'ania miguu yangu,,nikamwambia kuwa leo nimehangaika kulala tu ,,nikaona kazi kumsimulia

Hii mim hunitokea mara nyingii yaan sio mara ya kwanza kunitokea na hunitokea nakuwa najijua kabisa ila mwili unakuwa hauna nguvu,,,na mara nyingine huwa hadi naona natolewa nje huku moyoni nakua nasema Mungu wangu napelekwa wapii mie nikisali sali naashtuka
Siku zingine nalala tu tu vizurii,siku nyingine nakuwa hivyo
Je ni kuwangiwa au nin maana wengine husema uchawi hakuna cc Nyani Ngabu
Je wengine huwa mnalala tu vizuri au wengine mnahangaika kama mimi nifanyeje ili hii hali niiepuke kwa waganga siwezi kwenda kabisa ,,so usinishauri habari za waganga wala kwenda kanisani

Kuna siku napo nililala ikanitokea hivyo nilisikia napigiwa kelele masikioni kwa nguvu mpaka nikaamka,,siku nyingine najikuta napiga ukuta sijijui yale maumivu yananiamsha kiganja kinauma tatizo nakuwa najijuaa kabisa
Kutokana na maelezo hayo, utakuwa unasumbuliwa na mapepo (maruhani/jini wachafu) tafuta mtaalam kuna dua zake usomewe yataondoka yote, na kinga uwekewe la sivyo utateseka tuuu.
 
Back
Top Bottom