MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Bila APPOINTMENT?
May Allah bless Me and You
hahahaha heu jaman acheni masikhara
Bila APPOINTMENT?
May Allah bless Me and You
Nakuunga mkono hata mimi nkiona sijielewi nafanya hvyoMimi kwa ufahamu wangu kuna viumbe wa usiku wanakusumbua ingawa sifahamu kwa lengo lipi.......
Jaribu kulala na kitabu cha imani yako upande wa kichwani kwako.....
Hii njia imesaidia watu wengi sana....
Kwanini mkuu..??
Ina maana huwa nataka kufa? Nishakataa hiyo roho sifi sasa hivi mimiHizo ni process za kupoteza fahamu, roho kuacha mwili, mtafute jamaa flani anaitwa mshana jr, mtaalam wa haya mambo atakusaidia.
cc: mshana jr
_ where ever you are remember me_
Pole mkuu,,,!soma ulichoandika!hahaha unautana na masheikh wewe lol
hapo sasa jini ndo huwa linafanya kazi yakeMapenzi nafanya lakin kuna muda nakuwa sitaki kabisa sitaki kuguswaa
SawaSasa umekataa kwenda kwa mganga nkajua unae da kuombewa, na kanisani nako hutaki kwenda .. PAMBANA NA HALI YAKO
Hata mimi week hii nlikua nmelala nkajihisi kama kuna kitu nlikua nashndana nacho nkiwa nmelala usku, pia nkaota kama nakikemea, mpaka sasa sjui ilikua ni ndoto auvip. . Ila wew unatatzo kubwa kua makin
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu, mambo ya ushirikina mimi huwa siyapi nafasi kabisa, kwanza sijui kama bado yana uzito huo aliouta huyu ndugu,, kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema
WE ARE THE RESULT OF OUR THINKING AND THOUGHT
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaolewa jamanihapo sasa jini ndo huwa linafanya kazi yake
kwahiya baba sabrina unamnyima bila huruma?
Kwa hiyo nianze kulala na biblia eti,,Pole mkuu,,,!![]()
![]()
![]()
Ata wao wanayatambua vyema wanaushirika vyema kabisa..! Husikii Shekhe majini kila kukicha anatamba channel 10.
Mkuu upo europe?+198656666333
Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa hivi,,nikafumba macho tena ili nisinzie ile nataka kupitiwa tu nikaona kama nimepitiwa na giza usoni paa nikaamka tena nikaapuuzia nikalala ile hali ikajirudia ya kitu kama giza kinapita ,halaf kukawa na nguvu fulan sijui ilikua inatoka wapi inanilazimisha nipate usingizi mzito kweli wakati mi nikitaka kuamka lakin kuamka nashindwa ,,hiyo hali inanitokea huku naongea kimoyo moyo
. ,,nikaanza kusali wapi hakuna kitu,,mwili unaishiwa nguvu nakua najitahidi kuchezesha mguu ili nipate nguvu niamke lakin wapii,,,halaf nikawa siutaki ule usingizi kwani nakua naona napelekwa sehemu siijuii halaf inatisha
wakati nazidiwa kupata usingizi wa lazima nikasikia kitu kinanipuliza sikioni huku nikipata maumivu makali hapo hapo nikaamka tena nikakaa ,,nikajirudia zangu chumbani nikaona niende chumba cha ndugu yangu nilale nae maana mwanzoni nililala chumba kingine
Nimelala na huyu ndugu ,huwezi amini nikifumba macho nakua naona kama naonyeshwa kwenye tv,naona pote hadi nje kule ,kule sebuleni napaona halaf mwili ukawa unatetemeka napata maumivu ambayo sio makali sana nikaendelea kusali lakin hakuna kitu,,yaan sikulala jamani nikalzimishwa ule usingizi nikawa naona watu wawili wana giza kubwa wananirukia kwenye mwili wangu wanarudia kile kitendo ,,kumbe vile nahangaika nilikua nimvuta yule ndugu yangu anisaidie baadae nikashtuka nikaona nikae macho tu sasa,,asubuhi ilipofika yule ndugi yangu akaniambia leo ulikua unaning'ang'ania miguu yangu,,nikamwambia kuwa leo nimehangaika kulala tu ,,nikaona kazi kumsimulia
Hii mim hunitokea mara nyingii yaan sio mara ya kwanza kunitokea na hunitokea nakuwa najijua kabisa ila mwili unakuwa hauna nguvu,,,na mara nyingine huwa hadi naona natolewa nje huku moyoni nakua nasema Mungu wangu napelekwa wapii mie nikisali sali naashtuka
Siku zingine nalala tu tu vizurii,siku nyingine nakuwa hivyo
Je ni kuwangiwa au nin maana wengine husema uchawi hakuna cc Nyani Ngabu
Je wengine huwa mnalala tu vizuri au wengine mnahangaika kama mimi nifanyeje ili hii hali niiepuke kwa waganga siwezi kwenda kabisa ,,so usinishauri habari za waganga wala kwenda kanisani
Kuna siku napo nililala ikanitokea hivyo nilisikia napigiwa kelele masikioni kwa nguvu mpaka nikaamka,,siku nyingine najikuta napiga ukuta sijijui yale maumivu yananiamsha kiganja kinauma tatizo nakuwa najijuaa kabisa
SawaYasikutishe, ya kawaida... kuwa serious kukemea kwa jina la Yesu yanapaswa kutii..hakuna namna. Jina le Yesu likitamkwa vizuri na kwa imani na kujiamknini lina matokeo ya ajabu
jinamiziSi walisema yanayokaba ni yale manini sijui nimeyasahau majina
Pole mkuu,,,!![]()
![]()
Ata wao wanayatambua vyema wanaushirika vyema kabisa..! Husikii Shekhe majini kila kukicha anatamba channel 10.
pm yako ipo wazi?Sijaolewa jamani