Usiku huwa kuna ninii

Kwa hiyo nianze kulala na biblia eti,,

Bible is nothing ukilala nayo... value ya biblia inakuweko kwenye imani kwenye neno la Mungu... unasoma facts za biblia, unaziamini then unapata matokeo.... shetani na malaika zake hawana mamlka kukutumikisha kama ukijitambua kwamba umepewa dominion over kila kitu kama kitabu cha mwanzo kinavyoelekeza... do not fear no body but fear itself...
 
Pole mkuu,,,! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ata wao wanayatambua vyema wanaushirika vyema kabisa..! Husikii Shekhe majini kila kukicha anatamba channel 10.


yaan bado nacheka jaman!dah! we hufai
 


imani imani!
 
Hawa jamaa na Mungu(Alah) wao huyo hana wivu kama wetu anashare watu wake na majini eti..!
 
Ina maana huwa nataka kufa? Nishakataa hiyo roho sifi sasa hivi mimi
Roho kuacha mwili sio kukata roho,
Hiyo tunaiita kutoka nje ya mwili ndio maana uliweza kuona vya sebuleni ukiwa chumbani,

Unaweza kuwa mtabiri au mtu mashuhuri ukijua kutumia vizuri hali yako,

Fanya kuikubali hiyo hali siku moja then utanipa mrejesho.

_ where ever you are remember me_
 
Mtafute mtaalamu akutatulie shida yako.

Hao ni Wanga tu wasiotaka kuona maendeleo yako.
 
Kwa hiyo inakuwa kama mediation , , nilisoma kule itelijensia kutoa nje ya mwili,,,basi mbona mi hutoka usiku tu au hali hiyo hunikamata nikiwa nimelala mbona nikiwa nimekaa haiji
Nitawezaje kuitumia wakati sijui lolote
Halaf huko kutoka nje ya mwili si naweza kufa mie jamani

Kuna rafiki yangu nilimtabiria kitu na kikawa kweli mi mbona yangu sijitabirii kuna kipindi nilikua naona kuna mambo mabaya yananitokea na kweli yakatokea lo
 



hahahahahahhahhaha! iman hizi ! kume umekalia utajiri jaman! woyooooo
 
hahahahahh! kuna yule sheikh kipoozeo hahahahahahahahahahahhha hilo jina mm hoiii
Hawa jamaa bwana usiwatafakari sanasana waombeeni tuuh..!

"Shekhe kipozeo anasema mwanamke mmoja ni mama yako tu, huwezi kuwa na mke mmoja kama mama yako..[emoji23] [emoji23] [emoji23] yule jamaa km zimefyatuka.

Siku moja alikuwa anahojiwa na Zamaradi Clouds nilicheka mno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…