Usiku huwa kuna ninii

Usiku huwa kuna ninii

Hebu niambie nini hunitokea usiku,,,umesoma uzi ?

nimesoma! hebu nenda kwa Dk mamy! nataman wanasayans waje waielezee hii !mie nahakika inahusianisha kbs na ubongo kwa 100%!kisayansi hii ipo tu! pole! nilikuwa nakualert usijazwe habari za majini mahaba...
 
Shukrani sana
 
Mimi kwa ufahamu wangu kuna viumbe wa usiku wanakusumbua ingawa sifahamu kwa lengo lipi.......

Jaribu kulala na kitabu cha imani yako upande wa kichwani kwako.....

Hii njia imesaidia watu wengi sana....
Sema tu biblia..! Maana majini hayajui lugha ya biblia koran yanajua vyema lugha yake(kiarabu) maana muasisi wa dini hayakuwahi kuwa na ugomvi nae..! Ila Christos ukimtaja kwisha habari zao..
 
sure!ubongo ukiulisha na wenyew unarespond negative! huenda ana woga /hofu fulani
Ina maana huwa nakuwa na woga ,,hapana kabisa maana siku ingine hulala nyumba nzima peke yangu na nalala vyema tu na wala siogopi kitu
 
Sema tu biblia..! Maana majini hayajui lugha ya biblia koran yanajua vyema lugha yake(kiarabu) maana muasisi wa dini hayakuwahi kuwa na ugomvi nae..! Ila Christos ukimtaja kwisha habari zao..

Jhahahahaha nimcheka nusura nilie !hahaahhahaha uwiiiii! had napaliwa jaman
 
Hizo ni process za kupoteza fahamu, roho kuacha mwili, mtafute jamaa flani anaitwa mshana jr, mtaalam wa haya mambo atakusaidia.

cc: mshana jr

_ where ever you are remember me_
 
Sasa umekataa kwenda kwa mganga nkajua unae da kuombewa, na kanisani nako hutaki kwenda .. PAMBANA NA HALI YAKO

Hata mimi week hii nlikua nmelala nkajihisi kama kuna kitu nlikua nashndana nacho nkiwa nmelala usku, pia nkaota kama nakikemea, mpaka sasa sjui ilikua ni ndoto auvip. . Ila wew unatatzo kubwa kua makin

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hutaki kwenda kanisan unataka kwenda wap sasa coz huko ndo kuna solution ya tatzo lako labda kama unapenda kuendelea kua kwenye hyo hali mim nna uhakika na nguvu ya maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom