Mleta mada kafariki ndio maana uzi upo hewani!!!Kesho atakuletea jeshi then utamwelewa
Unadhani ka!a n yeye atakujibuje swali lakoKaka kuna uzi hapo juu unasema kwamba puppa amekufa ni wewe au majina yanafanana?
Nilistuka tu ila nishafahamUnadhani ka!a n yeye atakujibuje swali lako
Swali zuri.Unadhani ka!a n yeye atakujibuje swali lako
Siku nyingine usirudie kuwauliza marehem maswaliNilistuka tu ila nishafaham
Labda n hiyo shock ya kupata msibaSwali zuri.
Usicheke mkuu, aliyeanzisha uzi hatunae..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hv huwa mnafikiria nn kuanzisha Uzi kama huu, wallah nimecheka sana.
Sawa mkuu nimekoma mungu awe naye namuombeaSiku nyingine usirudie kuwauliza marehem maswali